Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
karibu sana ila si ulikua unatuponda imekuaje leoMimi naweza kuishi mazingira yote... nitakuja makapuku
karibu sana ila si ulikua unatuponda imekuaje leoMimi naweza kuishi mazingira yote... nitakuja makapuku
Dada anatatizo gani?
Yaani kila nikija humu nakuta watu wanamwagwa diesel kwenye kibanda changu..
Naona wanataka kuniunguzia kibanda..
na unishkuru mimi ninavyokua mkali kukuteteasaf tu aise...huku mpaka uwe mtu wa kujulikana sana..naona mnafurahi sana.sis wengine wageni tunawangalia tuNiaje mzeiya
UsijaliDada anatatizo gani?
Yaani kila nikija humu nakuta watu wanamwagwa diesel kwenye kibanda changu..
Naona wanataka kuniunguzia kibanda..
Nimekuelewa kamanda...Wewe mpe tu mkuu
Nimeshapata lesson mkuuHewaala.
Hawa wenzetu ukiwa unawapa attention saana wanakuzoea
Mchokothii huyuuHahaha

Whats up miss DTatizo hatupati notification
Jitahidi uwataje wote bana hebu rudiaa,,,halaf iceman 3D mbona simuoni
EwaaaaUwe unakapa na tu hela hela kidogo
Kho Kho KhoI love you...
Hahahaaa!Hasa Shunie
Alipotea ghafla
Yamekuwa hayoooHewaala.
Hawa wenzetu ukiwa unawapa attention saana wanakuzoea