Unatumia mtandao gn?!Tatizo mb zimekuwa chache zinawahi kuisha
Kumbe umetajwa eeehNilikuwa nasubiri unitaje ndio nije
Halafu jina lako mkuu refu nimeandika na kulifuta mara 5 nakosea tu
refu km reli ya katiTTCLUnatumia mtandao gn?!
Sasa mtu usije ukasema mbona sijatajwa. Mimi sio kompyuta mpakato nihifadhi majina yote
unajistkia et!Umeshafika page 45 na bado unaendelea uruapan tu.Sijauona inaonekana siku hizi napitwa na mengi.
Aiseeh mi mzima na familia yangu na michepuko yangu yote.
hujaacha tu?Naandamana kuanzia kesho maana jina langu mnaliona refu![]()
![]()
![]()
refu km reli ya kati

Huyu hachagui ye anakulaga tuHapo kwenye michepuko ndo tuanzie kuuliza una miliki single au wenye watoto
Nimegaili mesepa na sadaka yangu mana huyu pastor kanichafua kweli anazungumzia kuhusu papuchi tu

Duuu...nimeishiwa poziTTCL