Humu naomba kitu kimoja

Sio hivyo sitaki kutongozwa humu ndio namaanisha hivyo kisa hampo serious
 
Pole kwa yaliyokukuta ni kumuomba tu Mungu akupatie wa kuendana nae manake Wanaume ni walewale.
 
Dah acha tu wakanisani wao wamerudi kundini sio hao nipo serious no kuchekea sana .
Siwezi tena kuwa na mtu humu hata iweje dah watu wanaishilia tu kukutesa
nani huyo kakutesa jmn
 
Sasa hadi ukaja kuandika thread yako humu kuwa hutaki mume kutokaJf nani alikulazimisha kuwa ni lazima uwe na mume kutoka Jf na kama hutaki mume kutoka humu Jf kuna ulazima gani wa sisi kujua kuwa hutaki mume kutoka Jf?
Kwa sababu mnadhani bado nataka ndio nimewatangazia siitajii ili wajue
 
Ukitaka mtu sahihi anza wewe kwanza kua sahihi
Ukitaka mtu serious anza kua serious kwanza
Bila kusahau kua kila utakapokua katka uhusiano jitasmin kwanza. Je kweli hiyo ndio nafasi yako? au unamshikia mwenye yake!
UTAJUAJE
Utayari wako wa kujifunza au kuongeza maarifa mapya kwa kile anacho jishughulisha nacho mwenza wako katka harakati zake za utafutaji. Kujifunza kile anacho fanya au anacho kipigania kwenye maisha Sio lazima ukijue kiundani lakini uwe na data ambazo ikifika kipindi akikwama mtu wa kwanza kumfikiria awe ni wewe. Si kwa sababu ya kuonganisha Vikojoleo vyenu
bali ahisi atapata cha ziada kwako kama msaada kwake katka jambo hilo.
Kuna vipindi kazi au biashara zinatuvuruga kiasi kwamba mapenzi yanakua si sehemu tena ya maisha yetu hata ile hamu pendwa inapotea kabisa HAPA NDIPO MAHUSIANO MENGI YANAVUNJIKA kwa maana ule muda aliokua anakupa hatokupa tena kama anaamini huna kitu cha kum inspire katika kile anachofanya
 
Dah
Hujakufa kweli,maana mpaka kucheka unapunguza!!!
Sunami mbaya sana
Ila,usipende mambo ya ajabu ajabu tena
Wewe sintakufa bali nitaishi kumbuka issa yupo.
Usidhani nipo single nope
 
Asante sana mpendwa kwa ushauri
 
Ujinga wenu ni pale wewe ni danga unataka mume jenuwine, maisha yako maigizo unatafuta mtu serious, average brain unataka smart man, kwenu hamna ata baiskeli unasaka mume mwenye range!

Wadada smart huwa wanadream na wanajua nini cha kuinterview akikutana na mkaka..! Binafsi mimi napima akili/smartness ya mdada kwa vitu vya kawaida na reasoning yake basi. Sijui umesoma una phd afu uwezo kutatua shida ya kawaida tupo huko mtaroni.
 
Umemaliza Mkuu ,wakupe kinywaji unachotumia nitakulipia

Asomaye na afahamu
 
Achana nae usimshobokee tena, tulia utapata tu wa kwako kwa mda sahihi usijihisi kuwa umepungukiwa enjoy life.
General Mangi seriously hajanivutia kimapenzi ni kiurafiki tu yaani lengo langu nimjue huyu ndio Mangi mengine nope sijamfikiria kuwa yeye nitakuwa na urafiki wakimapenzi nope.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…