Humu naomba kitu kimoja

Pole, fanya maisha yako tu, uliyepangiwa na mungu atakuja kwa wakati wake, kwa namna isiyotarajiwa. Mwenza wa maisha hatafutwi tu kama bidhaa sokoni, labda tu mungu akupe kwa staili hiyo. Muombe Mungu na ujipe muda .
 
Hayupo humu ? Ni vema kumfuata huko aliko asee, usichelewe kwasabu wana tabia ya kuhama Hama
 
Katoto kazuri,unajua mimi nilikumaindi sana,nilikuja pm lakini ukazingua ilikua nibebe goma kabisa hilo
ila mikogo na maringo yako ndo imenizingua,kama vipi naja tena pm.
 
Dah acha tu wakanisani wao wamerudi kundini sio hao nipo serious no kuchekea sana .
Siwezi tena kuwa na mtu humu hata iweje dah watu wanaishilia tu kukutesa
Dah
Hujakufa kweli,maana mpaka kucheka unapunguza!!!
Sunami mbaya sana
Ila,usipende mambo ya ajabu ajabu tena
 
Unatafta mume!
njoo pm.unipe wasifu wako.

usidharau hii coment.
 
mada zako tu zenyewe zinafanyaga watu wakuone mpitaji. huenda wewe pia tunakuona hauko sirias
 
mada zake tu zenyewe zinafanyaga tumuone hayuko sirias
 
Hakika ya mwenye kusubir yuko pamoja na Mungu kuwa na subra utampata tu uliondikiwa na Mungu na mbaya huwezi jua utampatia wapi humu kila mt atakueleza kuwa amekutana na mwenzeke sehemu tafauti na mazingira tafauti hivyo kuwa na subr dada wakwako yuko .njiani
 
Uzi bila picha haunogi
tuwekee picha yako kwanza tuone kama unayoyasema yanafanana na wewe
 
Mbona mie nipo mke wangu kwanini uteseke?
 
Unatakajeee mimi muda unaenda???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…