Humprey Polepole: Kinachoendelea BMK is Not Right", Live on Ch.10

Humprey Polepole: Kinachoendelea BMK is Not Right", Live on Ch.10

Wanabodi,

Mwanzo nilimnote huyu Mjumbe wa Tume ya Warioba kwa kuvaa kama Nyerere!, kisha nikanote ana umbo kama la Nyerere!, leo nimemsikiliza anaongea live on Channel mpaka saa hii, anaongea kama Nyerere!.

Japo Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarange Nyerere hayupo nasi!, lakini Nyerere bado yupo na sasa anaongea kupitia Humprey Polepole!.

Msikilize!.

Pasco.
Kama kweli Mwenyekiti wa CCM Taifa anataka kuongeza mvuto, basi aende na Humphrey Polepole.

Polepole anauwezo wa kujenga hoja na pia ni kijana mweredi Dana wa siasa za Afrika na Tanzania.
Wazungu husema "Save the best for the last"
Naunga mkono hoja

View: https://youtu.be/SYJjy4zg7ss

P
 
Wanabodi,

Mwanzo nilimnote huyu Mjumbe wa Tume ya Warioba kwa kuvaa kama Nyerere!, kisha nikanote ana umbo kama la Nyerere!, leo nimemsikiliza anaongea live on Channel mpaka saa hii, anaongea kama Nyerere!.

Japo Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarange Nyerere hayupo nasi!, lakini Nyerere bado yupo na sasa anaongea kupitia Humprey Polepole!.
Pasco.
Kwa wale wapenzi wa Mwalimu Nyerere,kaeni mkao wa kula,Nyerere amerudi kupitia reicarnation ya Polepole.
P
 
Wanabodi,

Mwanzo nilimnote huyu Mjumbe wa Tume ya Warioba kwa kuvaa kama Nyerere!, kisha nikanote ana umbo kama la Nyerere!, leo nimemsikiliza anaongea live on Channel mpaka saa hii, anaongea kama Nyerere!.

Japo Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarange Nyerere hayupo nasi!, lakini Nyerere bado yupo na sasa anaongea kupitia Humprey Polepole!.

Msikilize!.

Pasco.
Okay
 
Polepole ataongea leo Leo ni leo asemaye kesho muongo!Leo tarehe 21!Ni siku ya siku!The twenty first to remember! Ni saa mbili kamili usiku! Usikose!
P
 
Wanabodi,

Mwanzo nilimnote huyu Mjumbe wa Tume ya Warioba kwa kuvaa kama Nyerere!, kisha nikanote ana umbo kama la Nyerere!, leo nimemsikiliza anaongea live on Channel Ten, mpaka saa hii, anaongea kama Nyerere!.

Japo Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarange Nyerere hayupo nasi!, lakini Nyerere bado yupo na sasa anaongea kupitia Humprey Polepole!.

Msikilize!.

Pasco.
Wanabodi
Nimejitolea kuwa mwalimu wa kujitolea wa somo la katiba, sheria na haki, ili kuwaelimisha Watanzania kuhusu haki zao na wajibu wao.

Kujitolea kuwa mwalimu somo la katiba, na sheria, nimehamasishwa na yeye mwenyewe Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au? hebu msikilize mwenyewe akizungumza
View: https://youtu.be/PZ_8JFw_5LM?si=LqdibxLmRJXzlhQY ni kufuatia hoja hii, ndipo mimi nikajitolea Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel Ten
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=LdYf8WVJTIKw8KCu

Kanuni yenyewe ya vicarious liability ni hii
"Vicarious liability exists due to the legal doctrine of respondeat superior, which essentially means “let the master answer.” Employers, parents or others with a superior legal relationship to someone who does harm are expected to answer for those who are under their control.

Vicarious liability rules also exist in order to provide protection to victims of injury. Often, an individual employee or a child will not have the resources to provide compensation to those they harm through their negligence or wrongful actions. But companies and parents generally do.

Through the doctrine of vicarious liability, those who have resources (including the ability to buy insurance) and who were in a position to prevent harm but who failed to do so can be held accountable so victims do not go uncompensated"

Tanzania tuna bahati nzuri sana hatuna wanasheria aggressive wa kutetea watu, vinginevyo tungetumia private investigations kuwabaini hawa 'wasiojulikana' na kuwatundika msalabani, hii ingewafanya viongozi wetu kuwa more responsible for the life of its citizens.

Paskali

Hii ni katika kukumbushana tuu, kama ni kweli aliyekamatwa ni Humphrey Polepole, nawashauri mfanyieni tuu mohojiano kama ana hatia mfikisheni kwenye vyombo vya sheria, msiimwage bure damu yake, mtajikuta mnaponza bure bosi wenu bila ya nyinyi kujijua na yeye karma ikamshukia kama yule mtangulizi wake!.
Ni ushauri tuu!.
P
 
Back
Top Bottom