Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 796
- 2,027
Umeongea ukweli, awamu ya tano imetufunza mengi sana coz jamaa aliweka Watanzania mfukoni mwake, kufokafoka na kejeli kwa watu wanaompinga iwe kwa jema au bayaHakuna mwenye nchi namba moja kumzidi Samia wala msitishe watu. Tumeona na kujifunza mengi chini ya AWAMU YA TANO.
Kila siku ninawaza huyu Polepole guts za kuunguruma hivi anazitoa wapi!? At the same time najiuliza why is Bashiru that much quiet!?Hiyo statement ni ya "wenye nchi" na si ya polepole. I know these people. They're very very smart. Mama awe makini tu.
.... what a good observation! Na hili liko ndani ya mamlaka ya Rais mwenyewe; through Presidential Decree, anaweza ku-order maneno mawili tu "Awamu ya" yafutwe na kuwa replaced na "Rais wa". Na mchezo utakuwa umekwisha!Ni upuuzi mkubwa kubishania awamu.
Nyerere aliyetawala Tanzania kwa miaka 21 alitawala kwa awamu ngapi?
Kama awamu ni nongwa sana tubaki na maneno Rais wa sita tu, basi.
Halafu leo mtu akwambie eti kuna mwenye nchi kumzidi Rais wa nchi kww Katiba yetu hii?? No wayUmeongea ukweli, awamu ya tano imetufunza mengi sana coz jamaa aliweka Watanzania mfukoni mwake, kufokafoka na kejeli kwa watu wanaompinga iwe kwa jema au baya
Wao wenyewe walituaminisha kuwa hii ni serikali ya awamu sita Leo wanataka kuturudisha serikali ya Awamu ya Tano, anyway acha watupeleke kama Gari bovu wao ndiyo wenye mamlaka, sisi wakulima hatuna usemi
Hangaya alisema ni awamu ya sita, polepole unabishana na mwenyekiti wako?Nawasalimu kwa jina la Tanzania
Polepole amenukuliwa akisema kuwa katika awamu ya Tano aloondoka ni mtu mmoja tu MAGUFULI , lkn serikali ni ileile ,chama ni kilekile
hivyo hakuna awamu ya sita ,Tusiwe tunachanganya.
SWALI?
Wataalum humu ndani naombeni nielemishwe "kwahyo anachosema POLEPOLE ni sahihi " kwamba hii serikali anayoongoza mama ni ya Awamu ya Tano na si ya Sita na tumhesabia awamu ya sita 2025??
Na je?
ikitokea Mama asigombee awamu ya 2025 awamu ya tano itahesabika imetawala kwa miaka 10 ( vipindi vyote viwili)
kwa unyenyekevu naomba kuelimishwa maana kipindi hiki Tunachanganywa sana jmn!!! kila mtu ana lake jambo tunashindwa kujua which is which.
karibuni !
View attachment 2033387
Jpm aliposhupaza shingo pale aliposhauriwa na deep state !Deep state wakala kichwa !huelewi nini sasa hapo????mbona yako wazi!walianzia kwa Lupaso,wakaja kijazi wakamaliza kazi kwa jiwe!!!Na hapo huelewi?na juzi hapa wakamalizia masalia mfugale fly over na Kwandikwa!!we huoni nchi inawenyewe hii???We subiri!na wakiona 2025 Samia hafai wanamuweka kapuni kwa skendo yoyote ile!!!Halafu leo mtu akwambie eti kuna mwenye nchi kumzidi Rais wa nchi kww Katiba yetu hii?? No way
Halafu leo mtu akwambie eti kuna mwenye nchi kumzidi Rais wa nchi kww Katiba yetu hii?? No way
😄Haya buana, japo mie naona ukaidi wao tu.Jpm aliposhupaza shingo pale aliposhauriwa na deep state !Deep state wakala kichwa !huelewi nini sasa hapo????mbona yako wazi!walianzia kwa Lupaso,wakaja kijazi wakamaliza kazi kwa jiwe!!!Na hapo huelewi?na juzi hapa wakamalizia masalia mfugale fly over na Kwandikwa!!we huoni nchi inawenyewe hii???We subiri!na wakiona 2025 Samia hafai wanamuweka kapuni kwa skendo yoyote ile!!!
Uchaguzi ulifanyika lini?Ni awamu ya sita kwa sababu kipindi cha pili awamu ya tano hakikufikia nusu ya muda wake kwa hiyo hakina sifa ya kuitwa awamu kwa maana hiyo Rais aliyepo kaanza awamu ingine ya sita
Do you mean, "deep state?"Hiyo statement ni ya "wenye nchi" na si ya polepole. I know these people. They're very very smart. Mama awe makini tu.
yap!the fela means that!!Do you mean, "deep state?"
Uchaguzi ulifanyika lini?
Watakupuuza wewe. Ukweli ni kwamba CCM ianze kuandaa mgombea 2025 . Huko mitaani hali sio nzuri kuhusu mazaMlio karibu na Pole pole mshaurini akubaliane na ukweli kuwa zama zimebadilika na hivyo akae kimya sasa anapoelekea watu wataanza kumpuuza.
Awamu ni zama ambazo utofautishwa na aina ya mtawala ivyo anapoingia Rais mpya na awamu inakuwa mpya bila kujali ni miaka kumi au 15.Nawasalimu kwa jina la Tanzania
Polepole amenukuliwa akisema kuwa katika awamu ya Tano aloondoka ni mtu mmoja tu MAGUFULI , lkn serikali ni ileile ,chama ni kilekile
hivyo hakuna awamu ya sita ,Tusiwe tunachanganya.
SWALI?
Wataalum humu ndani naombeni nielemishwe "kwahyo anachosema POLEPOLE ni sahihi " kwamba hii serikali anayoongoza mama ni ya Awamu ya Tano na si ya Sita na tumhesabia awamu ya sita 2025??
Na je?
ikitokea Mama asigombee awamu ya 2025 awamu ya tano itahesabika imetawala kwa miaka 10 ( vipindi vyote viwili)
kwa unyenyekevu naomba kuelimishwa maana kipindi hiki Tunachanganywa sana jmn!!! kila mtu ana lake jambo tunashindwa kujua which is which.
karibuni !
View attachment 2033387
Una wadhifa gani hapo CCM na pia kwa utafiti gani mpaka ukayapayuka haya Mkuu?Watakupuuza wewe. Ukweli ni kwamba CCM ianze kuandaa mgombea 2025 . Huko mitaani hali sio nzuri kuhusu maza