Humphrey Polepole umechokwa huna sera

Ha ha ha ha haaaaa ....Polepole umeshaaaaa vibaya sana!!! hebu jistukie basi!!! uso umeumbwa na aibu ... huyo mwenye CCM mpya leo alikuwemo kwenye CCM ya zamani ... sasa umebadilisha nini ... uzalendo mchezo ...
Hahahaaa mkuu point sanaa
 
Hata wewe kila siku unaenda kanisani/msikitini na huelewi ya huko ije kuwa ya Polepole. Kuelewa nacho ni kipaji
Aaah ! Kumbe ni wewe Lumumba, mwenye njaa ya kichwani !!!? Acha nikupite bila kusoma komenti yako
 
ndo viongozi wetu hao wanaojua kusoma na kuandika...na ndio hao wanaosaini mikataba ya madini
 
Ccm mpyaa yenye wanachama na viongozi wale waleee makenikaaaaaa chaaaaa vitu vingine unaezaa mbakaa mtuuu etiiiiii!!!!!!
 
Ccm ni ile ile haiwezi kubadirika ila ipo siku mtapata ofu ya mungu na mtaiyachia hii nchi tumewachoka na maigizo yenu
 
5064463569b2c510f228fa80dcb61dd5.jpg


Nikisoma Majibu Ya wa tz mitandaoni
Inafurahisha Aiseee Nakusikitisha Shati alilo vishwa pole pole Lina mpwaya Halimtoshi kabisaa

Raia wamechoka hawamuelewi
Kuishiwa na kukosa sera kwa Polepole ni sawa na ccm kuishiwa sera
Kwani hivyo afanyavyo ndio ccm humwagiza aviseme
 
Back
Top Bottom