Humphrey Polepole umechokwa huna sera

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,400
5064463569b2c510f228fa80dcb61dd5.jpg


Nikisoma Majibu Ya wa tz mitandaoni
Inafurahisha Aiseee Nakusikitisha Shati alilo vishwa pole pole Lina mpwaya Halimtoshi kabisaa

Raia wamechoka hawamuelewi
 
!
!
Kuna nyakati fulani baadhi ya watu sura zao husharabu fika zao... Kwa mdomo ulivyomkauka na vikaunda vyake unaweza kujua tu neno linalofatia
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hata wewe kila siku unaenda kanisani/msikitini na huelewi ya huko ije kuwa ya Polepole. Kuelewa nacho ni kipaji
 
Hata wewe kila siku unaenda kanisani/msikitini na huelewi ya huko ije kuwa ya Polepole. Kuelewa nacho ni kipaji
 
Ha ha ha ha haaaaa ....Polepole umeshaaaaa vibaya sana!!! hebu jistukie basi!!! uso umeumbwa na aibu ... huyo mwenye CCM mpya leo alikuwemo kwenye CCM ya zamani ... sasa umebadilisha nini ... uzalendo mchezo ...
 
Back
Top Bottom