Humphrey Polepole tusiwape nafasi wanafiki.

m2020

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2016
Posts
979
Reaction score
1,354
Mheshimiwa Humphrey Pole pole Nakuomba uwe unakuwa punctual kuwajibu WANAFIKI sampli ya mzee wetu Kingunge wanapojitokeza hadharani na KUDHARAU juhudi zenu wakati wa kukusanya maoni kupitia tume ya katiba ya jaji Warioba.

Tusiwape nafasi WANAFIKI hata kama wanauhuru wa kutoa Maoni yao ni vema wawe wakweli na si watu vugeugeu wanaopotosha jamii nakutaka tuwaamini.

Tuwadhibiti WANAFIKI mapema kwani waliipinga katiba pendekezwa.
 
Yule mzee na ile timu yake ndio waliotaka serikali mbili wakiamini wangeshika dola, wakiwa ndani ama nje ya kule walikokimbia! Akae kimya
 
Kwenye kundi la wanafiki mbona na yeye yumo!?
Hapo inakuwaje wandugu.
 
Mheshimiwa Humphrey Pole pole Nakuomba uwe unakuwa punctual kuwajibu WANAFIKI sampli ya mzee wetu Kingunge wanapojitokeza hadharani na KUDHARAU juhudi zenu wakati wa kukusanya maoni kupitia tume ya katiba ya jaji Warioba.

Tusiwape nafasi WANAFIKI hata kama wanauhuru wa kutoa Maoni yao ni vema wawe wakweli na si watu vugeugeu wanaopotosha jamii nakutaka tuwaamini.

Tuwadhibiti WANAFIKI mapema kwani waliipinga katiba pendekezwa.
Wakuwakemea wanafiki ni polepole huyuhuyu wa tume ya Waryoba au kuna polepole mwingine kazaliwa?.
 
Mheshimiwa Humphrey Pole pole Nakuomba uwe unakuwa punctual kuwajibu WANAFIKI sampli ya mzee wetu Kingunge wanapojitokeza hadharani na KUDHARAU juhudi zenu wakati wa kukusanya maoni kupitia tume ya katiba ya jaji Warioba.

Tusiwape nafasi WANAFIKI hata kama wanauhuru wa kutoa Maoni yao ni vema wawe wakweli na si watu vugeugeu wanaopotosha jamii nakutaka tuwaamini.

Tuwadhibiti WANAFIKI mapema kwani waliipinga katiba pendekezwa.
NENO
 
Moja, Nadhan kuna haja ya kubadilisha heading ya uzi, anaesema maneno haya ni wewe sio Polepole, ulivyoiweka inaonekana msemaji ni Polepole..

Pili, Ongeza nyama, sio wote tumewasikia Wanafiki uliowalenga wajibiwe na Polepole.

Tatu, kama unakubali uhuru wa maoni, unatenganishaje unafiki na uhuru wa maoni ...?!?!
 
Toka alipokubali cheo cha mkuu wa wilaya nilimuona na yeye ni mnafiki
Mchawi mwenyewe amenyoosha mikono kwa mnafiki mimi mpolepole nilimuona mpumbavu kukubali ukuu wa wilaya mpaka mda huu siwezi kumsikiliza mpolepole hata angefanya nini dawa ya viongozi aina ya mpolepole ni kuwapuuza
 
Pplepole ni mnafiki na mchumia tumbo nambari wani,alitetea rasimu ya warioba iliyopinga nafasi za wakuu wa wilaya lakini alipoteuliwa yeye akakubali na kukaa kimya!
 
Mchawi mwenyewe amenyoosha mikono kwa mnafiki mimi mpolepole nilimuona mpumbavu kukubali ukuu wa wilaya mpaka mda huu siwezi kumsikiliza mpolepole hata angefanya nini dawa ya viongozi aina ya mpolepole ni kuwapuuza
Mkuu Boaz ukiwalinganisha Pole pole na mbowe na Lowasa nani mpumvavu zaidi?
 
Kwani Mbowe na team yake ya chadema alituaminisha kuwa lowasa ni FISADI hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba 10. Badae akamleta kwetu awe rais wetu. Sasa hapo nani wa kuaminiwa?
 
Kuna uwezekano mkubwa huyu kijana akapwaya kwenye hiyo nafasi. Sababu ni moja tu; Siasa katika nchi hii inabadilika kwa kasi sana kutokana na mahitaji yaliyopo sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom