Watanzania waliowengi tunamshukuru sana Polepole kwa elimu alioitoa kwa watanzania na kutuepusha kuingia kwenye mikono ya yule fisadiAlikuwa mwanaharakati sasa ni kada wa CCM hana mvuto tena wala sitaki kumsikia alivyo mnafiki
UtapeliHivi polepole ni waziri wa nini?
Fisadi gani hahukumiwi mkuu? Hakuna anayemtaka Fisadi ila Yale ni mbinu za kisiasa tu, msubiri hata J.Makamba mtamuundia zengwe kwa sababu ana nia ya kugombea Urais.Pinda alikataa kujihuzulu ishu ya Escrow vinginevyo angeitwa fisadi Leo. Subiri awamu ya Magufuli kama atampeleka mahakamani kwa kwa ufisadi.Acha Unyumbu mkuu uwe unajipima kwanzaWatanzania waliowengi tunamshukuru sana Polepole kwa elimu alioitoa kwa watanzania na kutuepusha kuingia kwenye mikono ya yule fisadi
Hahaahaaaaa.Utapeli