nothing ✌️✌️.Mna hakika hayo mabadiliko yata iokoa ccm?
Tafiti gani mmefanya kujua mtanufaika nayo?
Nam nataka kujua ukipata jibu unipm jibuhamna kitu hapo.
je mwenyekiti wenu wa CCM yuko tayari kuachia kofia moja??
Natamani sana CCM wangenielewaHabari waungwana,
Mji wa Dodoma pilika zimekuwa nyingi sana kuelekea mkutano maalum wa chama hicho huku ajenda ya mageuzi ikitawala. Baada ya ukimya kutawala na mkanganyiko ikiwemo ratiba ya nini kinafanyika Dodoma na kinachoenda kutokea msemaji wa chama hicho, Humprey Polepole ameibuka Rasmi.
Mageuzi makubwa yanafata CCM yakihalalishwa na mabadiliko makubwa ya katiba ya chama hicho kisha uchaguzi kwa ngazi zote za chama.
Ninachokiona watu wanaotuhumiwa kwa usaliti na kuonekana kutomuunga mkono mwenyekiti wakati wa pilikapilika za 2015 wakae mguu sawa maana inasemekana mzee hapendi wanafki.
Hapana! Mwenyekiti ndiye mtu pekee anayeweza kutumikia kofia zaidi ya moja! Wengine wote hawawezi!hamna kitu hapo.
je mwenyekiti wenu wa CCM yuko tayari kuachia kofia moja??
Hapana! Mwenyekiti ndiye mtu pekee anayeweza kutumikia kofia zaidi ya moja! Wengine wote hawawezi!
Habari waungwana,
Mji wa Dodoma pilika zimekuwa nyingi sana kuelekea mkutano maalum wa chama hicho huku ajenda ya mageuzi ikitawala. Baada ya ukimya kutawala na mkanganyiko ikiwemo ratiba ya nini kinafanyika Dodoma na kinachoenda kutokea msemaji wa chama hicho, Humprey Polepole ameibuka Rasmi.
Mageuzi makubwa yanafata CCM yakihalalishwa na mabadiliko makubwa ya katiba ya chama hicho kisha uchaguzi kwa ngazi zote za chama.
Ninachokiona watu wanaotuhumiwa kwa usaliti na kuonekana kutomuunga mkono mwenyekiti wakati wa pilikapilika za 2015 wakae mguu sawa maana inasemekana mzee hapendi wanafki.
Nashangaa chama kinachojiita kikongwe Leo kinapelekwa puta na mtu ambaye hakijui asili yake na hajawahi kushika nafasi yeyote ndani ya chama hata katibu wa tawi.sasa si bora mngelala nyumbani mumuachie ayafanye hayo mabadiliko mwenyewe kama yeye yupo juu ya hiyo katiba yenu.
Yaan kama aikumuunga mkono maana yake ni mnafiki?, kwani alikuwa mgombea pekee? TwafwaHabari waungwana,
Mji wa Dodoma pilika zimekuwa nyingi sana kuelekea mkutano maalum wa chama hicho huku ajenda ya mageuzi ikitawala. Baada ya ukimya kutawala na mkanganyiko ikiwemo ratiba ya nini kinafanyika Dodoma na kinachoenda kutokea msemaji wa chama hicho, Humprey Polepole ameibuka Rasmi.
Mageuzi makubwa yanafata CCM yakihalalishwa na mabadiliko makubwa ya katiba ya chama hicho kisha uchaguzi kwa ngazi zote za chama.
Ninachokiona watu wanaotuhumiwa kwa usaliti na kuonekana kutomuunga mkono mwenyekiti wakati wa pilikapilika za 2015 wakae mguu sawa maana inasemekana mzee hapendi wanafki.
Mkuu umewaza mbali....wameina wampoze haraka kabla hawajamkata....hivi membe nae yuko kamati kuu??CCM bana wanachonishangaza eti mtu mmoja cheo kimoja afu wanaongelea mawaziri na wabunge ila mkulu hiyo kauli mbiu haimuhusu. anyway mnajijua wenyewe na lichama lenu. Huenda pia uteuzi wa ubunge wa mke wa msataafu ukawa ni mkakati wa kumtoa kamati kuu, nimehisi tu.