Habari waungwana,
Mji wa Dodoma pilika zimekuwa nyingi sana kuelekea mkutano maalum wa chama hicho huku ajenda ya mageuzi ikitawala. Baada ya ukimya kutawala na mkanganyiko ikiwemo ratiba ya nini kinafanyika Dodoma na kinachoenda kutokea msemaji wa chama hicho, Humprey Polepole ameibuka Rasmi.
Mageuzi makubwa yanafata CCM yakihalalishwa na mabadiliko makubwa ya katiba ya chama hicho kisha uchaguzi kwa ngazi zote za chama.
Ninachokiona watu wanaotuhumiwa kwa usaliti na kuonekana kutomuunga mkono mwenyekiti wakati wa pilikapilika za 2015 wakae mguu sawa maana inasemekana mzee hapendi wanafki.