Humphrey Polepole live Channel ten

Humphrey Polepole live Channel ten

huyu jamaa anatafuta ubunge chadema,anakosoa sana ccm ambayo imemsomesha na kumlea mpaka hapo alipofika leo anaungana na genge la hawa wahuni wa ukawa

Akili za chura hizo ccm walitoa hela wapi kama sio kodi za wananchi???ccm wana hela gani kama sio kodi za wananchi?fikiri kwa kutumia akili kidogo mkuu
 
Yaani Humphrey Polepole ,hata nisipomsikiliza ,najua tu atakua ameongea Point .

Namkubali saana jamaa ,anajua kupembua mchele na mawe.

Nilishawahi kusema .

Polepole ni Zaidi ya Wabunge Kumi CDM kumi CCM .Hata akigombania kupitia chama Kipi,sitoanfalia Chama ,nitampa kura yangu.
 
huyu jamaa anatafuta ubunge chadema,anakosoa sana ccm ambayo imemsomesha na kumlea mpaka hapo alipofika leo anaungana na genge la hawa wahuni wa ukawa

Tema mate chini. Hakuna mwenye akili Tz anayeweza kuungana ccm. CCM aka chama cha shetani.
 
huyu jamaa anatafuta ubunge chadema,anakosoa sana ccm ambayo imemsomesha na kumlea mpaka hapo alipofika leo anaungana na genge la hawa wahuni wa ukawa
We bwana! Unatumia akili kweli kufikiri au kiny.eo kupembua mambo?
 
Yaani Humphrey Polepole ,hata nisipomsikiliza ,najua tu atakua ameongea Point .

Namkubali saana jamaa ,anajua kupembua mchele na mawe.

Nilishawahi kusema .

Polepole ni Zaidi ya Wabunge Kumi CDM kumi CCM .Hata akigombania kupitia chama Kipi,sitoanfalia Chama ,nitampa kura yangu.
kidogo umepotoka mkuu.... kumi Cdm mia Wa ccm hapo tutakuwa sawa
 
huyu jamaa anatafuta ubunge chadema,anakosoa sana ccm ambayo imemsomesha na kumlea mpaka hapo alipofika leo anaungana na genge la hawa wahuni wa ukawa

Kwenye red una maana gani CCM imemsomesha kivipi?.
Na hata kama ingemsomesha mtu inamaanisha huruhusiwi kuikosoa eti kwa vile imekusomesha mkuu unaishi sayari gani?.
 
anapinga kupokea maoni kwasasa bungeni wafanyavyo akina sitta

Rightly or wrongly, the way that you speak is one of the first things that people notice about you.People will judge your background, education and social standing just by the way you speak
 
Akihojiwa Channel ten, Hamphrey polepole amesononeshwa na kitendo cha wabunge maalum la katiba wakiwa katika kamati zao kupitisha Mapendekezo yanayotaka Rais wa Zanzibar awe makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tatizo lililopo ni kwamba Rais wa Zanzibar kachaguliwa na Wazanzibar tu! sasa anapata wapi mamlaka ya kufanya maamuzi ya watu milioni 40 wa Tanganyika?. Siku zote mgombea Urais huwa anachagua makamu wake ili watu wamtambue mapema ndipo waweze kumpigia kura Rais. Kama makamu wa Rais hakubaliki basi wapiga kura wanaweza kumkataa. Hili jambo limenishtua sana, Watanganyika tumeendelea kudharauliwa
.
 
Waliopitisha hawajitambui na wanaojitambua walishaona upuuzi wakajitoa.
 
Akihojiwa Channel ten, Hamphrey polepole amesononeshwa na kitendo cha wabunge maalum la katiba wakiwa katika kamati zao kupitisha Mapendekezo yanayotaka Rais wa Zanzibar awe makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tatizo lililopo ni kwamba Rais wa Zanzibar kachaguliwa na Wazanzibar tu! sasa anapata wapi mamlaka ya kufanya maamuzi ya watu milioni 40 wa Tanganyika?. Siku zote mgombea Urais huwa anachagua makamu wake ili watu wamtambue mapema ndipo waweze kumpigia kura Rais. Kama makamu wa Rais hakubaliki basi wapiga kura wanaweza kumkataa. Hili jambo limenishtua sana, Watanganyika tumeendelea kudharauliwa
.

Kaka umenena vyema kabsa maana rais wa zanzibar hana mamlaka ya kisiasa bara iweje awe makamu wa raisi ili hal kachaguliwa na wazanzibar pekee?
 
Back
Top Bottom