Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,188
Katibu Mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole, akihutubia Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mdogo Mjini Tarime tarehe 29.07.2018, alidai kuwa, kuna Wabunge wawili wanatarajia kuhamia CCM, muda wowote. Aliongezea kuwa, Madiwani wanaoomba kuhamia nao idadi yao ni kubwa.
Jana tarehe 30.07.2018, Mbunge wa Monduli kupitia CHADEMA, Julius Kalanga alihamia CCM, hivyo amebaki Mbunge mmoja asiyejulikana. Ni nani huyo anayefuatia?
Je, kuna kitu CHADEMA walimkosea Rais Magufuli?
Wachambuzi wa Siasa wanadai, Approach mbovu ya CHADEMA ya kumkosoa vikali Rais Magufuli huku wakipinga kila kitu mbele za jamii, ndiyo chanzo kikubwa cha wao kupata tabu sana.
Nina uhakika endapo CHADEMA itaacha Approach yao ya kupinga kila kitu cha Serikali na kuacha kumkebehi Rais Magufuli, hawataweza kukimbiwa na Wabunge na Madiwani wao.
Mwenye nguvu mpishe, otherwise mtaendelea kupoteza posho za Chama kila Mwakilishi wenu anapohama.