Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,791
- 4,878
Ungeyaandika haya wakati wa JPM.ingesaidia sana now is uselessHivi karibuni nilimtahadharisha Humphrey Polepole kutokana na mwenendo wake usiofaa wa kumpinga Rais Samia pamoja na Serikali yake kutokana na kinyongo chake cha "kupigwa chini " kwenye nafasi ya Ukatibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Taifa.
Kwanza niseme mapema kabisa kwamba Humphrey Polepole hakuwa mtu sahihi wa kuvaa " viatu" vya Nape Nnauye kwenye nafasi ya Ukatibu wa Siasa na Uenezi Taifa.
Kwakuwa siasa ndo uwanja pekee ambapo kila kitu kinawezekana basi Hayati Magufuli katika Ujenzi wake wa "CCM MPYA" akamfanya Mwanaharati Humphrey Polepole kuwa Katibu wa Siasa na Uenezi Taifa, nafasi kubwa ambayo ilikuwa ni aibu kushikwa na mtu ambaye hakuwahi hata kuwa Mwenezi wa tawi wa CCM.
Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni haya mabadiliko madogo aliyofanya Mheshimiwa Spika Job Ndugai katika Kamati za Bunge kwa mujibu wa matakwa ya kanuni ya 135(3) -(5) ya kanuni za kudumu za Bunge, Toleo la Juni 2020.
Humphrey Polepole amehamishwa kutoka kwenye kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za mitaa ambapo alikuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo na kupelekwa Kamati ya Sheria Ndogo ambapo nadhani atakuwa Mjumbe wa kawaida tu.
Ujumbe wa Polepole kwenye kamati Ndogo ya Sheria utakuwa wa kawaida sana kwa sababu kuu mbili; mosi, Polepole atakuwa Mjumbe wa kawaida kwa maana hatakuwa Mwenyekiti wa kamati hiyo.
Pili hiyo kamati ndogo ya sheria ni " technical committee" ina wajibu katika masuala ya sheria ambapo Polepole si Mwanasheria bali ni mtu wa "DS" ( Development Studies), Polepole ni layman hivyo hataweza "kujiachia " kama afanyavyo kwenye Shule yake ya Uongozi huko YouTube.
Nachukua nafasi hii kufanya mambo makubwa mawili kama ifuatavyo:
Kwanza, kumpongeza Mheshimiwa Spika Job Ndugai pamoja na Bunge lake tukufu kwa mabadiliko hayo yenye busara kubwa sana ndani yake.
Pili, kumjulisha Polepole kuwa haijui CCM! CCM is just like a green Snake in the green Grass! It is an invisible creature in some areas but it can bite you anytime.
JPM hayupo....Ungeyaandika haya wakati wa JPM.ingesaidia sana now is useless
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Serikali imeundwa na chama kipi ? Bunge lina wabunge wa chama kipi ?🤣🤣🤣🤣🤣Ushindi upi ?!!!
Ushindi wa kuwachukua "covid 19"?!?🤣🤣
Haya mkuu......
CCM bado tupo sana! Kwa hizi siasa zenu za "one man show",CCM itaongoza Nchi hii kwa muda mrefu sana ujao!Ccm hamna faida yoyote hapa nchini
Usituletee mawazo yako ya KICHADEMA CHADEMA hapa! CCM ni taasisi kubwa yenye mtandao mpana sana ! Hata bila Polepole ushindi wa kishindo uko palepale ! Polepole anapiga kura ngapi kwenye uchaguzi? CCM ni taasisi kubwa siyo hivi vikundi vyenu vya kutafutia ruzuku!Katika kipindi chake cha kuwa katibu mwenezi CCM alifanikisha ushindi mkubwa kwa wagombea wa nafasi mbali mbali kuanzia Serikali za Mitaa, Udiwani, Ubunge na nafasi ya Urais...ndugu Humphrey Polepole amefanikisha ushindi huo wa kihistoria kwa CCM, Halafu leo hii unasema hafai ?
Alafu wewe kajamba nani unafaidika nini masikini ya Mungu?CCM bado tupo sana! Kwa hizi siasa zenu za "one man show",CCM itaongoza Nchi hii kwa muda mrefu sana ujao!
Ukitaka kuijua nguvu ya CCM, ona jinsi Patrobasi Katambi,Pauline Gekul, na akina Mwita Waitara wanavyoipambia CCM sasa hivi! Tafuta clip zao humu miaka 7 nyuma uone walivyokuwa wakiongea huku wakitoa mapovu midomoni! Foma Gold haifuati! Leo wako wapi?
Huyu jamaa ni zuzu tuUtopolo kama huu ombeni jf wawawekee jukwaa la CCM
Atakuwa Nape tu huyu!Wewe kila siku na habari za Polepole tu, aaahgh. CCM wote hamjielewi
Wewe unafaidi nini pale Mbowe anapotafuna ruzuku za CHADEMA?! Ruzuku anakula Mbowe lakini mapovu unatoa wewe, pipoooooozzzzzzz!Alafu wewe kajamba nani unafaidika nini masikini ya Mungu?
Endelea na kazi yako ya kuramba miguu ya ChakubangaWewe unafaidi nini pale Mbowe anapotafuna ruzuku za CHADEMA?! Ruzuku anakula Mbowe lakini mapovu unatoa wewe, pipoooooozzzzzzz!
Polepole ni msanii tuKwanza polepole sio mwanasiasa yule ni mwanaharakati hapo kuna vitu viwili tofauti.
Ila kinanipa mshangao hivi hicho chuo cha uongozi alichoanzisha kimesajiliwa wapi
Binafsi simwelewagiPolepole ni msanii tu
Na huwezi kumuelewa maana bila mzee Warioba polepole leo hii angekuwa ni tapeli wa mali za watu.Binafsi simwelewagi
Hao waliapishwa na Ndugai... Polepole mnamsingizia tu.🤣🤣🤣🤣🤣Ushindi upi ?!!!
Ushindi wa kuwachukua "covid 19"?!?🤣🤣
Haya mkuu......
Hivi karibuni nilimtahadharisha Humphrey Polepole kutokana na mwenendo wake usiofaa wa kumpinga Rais Samia pamoja na Serikali yake kutokana na kinyongo chake cha "kupigwa chini " kwenye nafasi ya Ukatibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Taifa.
Kwanza niseme mapema kabisa kwamba Humphrey Polepole hakuwa mtu sahihi wa kuvaa " viatu" vya Nape Nnauye kwenye nafasi ya Ukatibu wa Siasa na Uenezi Taifa.
Kwakuwa siasa ndo uwanja pekee ambapo kila kitu kinawezekana basi Hayati Magufuli katika Ujenzi wake wa "CCM MPYA" akamfanya Mwanaharati Humphrey Polepole kuwa Katibu wa Siasa na Uenezi Taifa, nafasi kubwa ambayo ilikuwa ni aibu kushikwa na mtu ambaye hakuwahi hata kuwa Mwenezi wa tawi wa CCM.
Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni haya mabadiliko madogo aliyofanya Mheshimiwa Spika Job Ndugai katika Kamati za Bunge kwa mujibu wa matakwa ya kanuni ya 135(3) -(5) ya kanuni za kudumu za Bunge, Toleo la Juni 2020.
Humphrey Polepole amehamishwa kutoka kwenye kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za mitaa ambapo alikuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo na kupelekwa Kamati ya Sheria Ndogo ambapo nadhani atakuwa Mjumbe wa kawaida tu.
Ujumbe wa Polepole kwenye kamati Ndogo ya Sheria utakuwa wa kawaida sana kwa sababu kuu mbili; mosi, Polepole atakuwa Mjumbe wa kawaida kwa maana hatakuwa Mwenyekiti wa kamati hiyo.
Pili hiyo kamati ndogo ya sheria ni " technical committee" ina wajibu katika masuala ya sheria ambapo Polepole si Mwanasheria bali ni mtu wa "DS" ( Development Studies), Polepole ni layman hivyo hataweza "kujiachia " kama afanyavyo kwenye Shule yake ya Uongozi huko YouTube.
Nachukua nafasi hii kufanya mambo makubwa mawili kama ifuatavyo:
Kwanza, kumpongeza Mheshimiwa Spika Job Ndugai pamoja na Bunge lake tukufu kwa mabadiliko hayo yenye busara kubwa sana ndani yake.
Pili, kumjulisha Polepole kuwa haijui CCM! CCM is just like a green Snake in the green Grass! It is an invisible creature in some areas but it can bite you anytime.
Janja janja mingi yuleNa huwezi kumuelewa maana bila mzee Warioba polepole leo hii angekuwa ni tapeli wa mali za watu.
Amshukuru mzee Warioba na awamu ya 5Janja janja mingi yule
Kweli kabisaAmshukuru mzee Warioba na awamu ya 5