UMESILIBA VIBAYA SANAHamuishiwi gubu!
Niliwahi kuiona na kuisikia clip yake ya video akisema "kama uchaguzi ukiwa huru na haki CCM itashindwa"
Kwahiyo tuendelee kusomana tena sisi vijana kua ukinyonga ndio mtindo kama Pole Pole alivyofanyaKuwa mwanangu uyaone .....tulifikiri kuyaona magorofa....NO...' ni kuona maisha yalivyo na yanavyombadilisha mtu ....anabadilika mithili ya kinyonga anavyobadilisha rangi kulingana na mazingira....
Sasa wewe unasema clip wakati watu tulushudia kwa macho na maskio alitamka mwenye kwenye mdahalo UDSM wewe unatuambia clip....Au ni wale waleNi propaganda za gazeti (Mwananchi ) ndizo zilirusha kipande kifupi badala ya habari nzima, nnazo clip zote mbili (iliyopotoshwa na iliyo sahihi)
Iliyo sahihi inaeleza maonyo kwa Kauli za Chadema na CCM!!!!! iliyopotoshwa inachukua maneno aliyonukuu Pole pole toka Chadema na kufanya kuwa hayo ndo maneno yake
Inamaana hajasema kweli au???Hamuishiwi gubu!