realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,981
Na ndio maana mtoa mada alimalizia kwa kusema "bravo" maanake hongera kwa kuchezesha fitna had kuula.Lowasa alisema hawezi hama ccm, ile wale wasiomtaka ndi9 waondoke. Leo yuko CDM.
Chadema walimuita Lowasa Baba wa Mafisadi na fisadi number 1. Na leo n kiongozi wa chadema na mpeperusha bendera.
Mbowe mara ngapi kala matapishi yake na kubadilisha gear kwenye gari ya mkokoteni??????