Humphrey Polepole ‘awashukia’ Kinana na Makamba

Na inaonekana mtu akiwa CCM ni fisadi ila akija CHADEMA ni maraika msafi, jiulize kwa nni?
Siasa zetu zimejaa unafiki sana, huoni Membe anavyoshangiliwa leo, lakini tunasahau madhambi yake huko nyuma.
 

Nauliza nani anaweza kuuliza hata matumizi ya pesa huko chadema akabaki salama? Au kuhoji kwa nni mwenyekiti aendelee bila kukoma, tumeona tramp kafukuza watu kazi kwa kutoa ushahidi dhidi yake, sasa itakuwa tanzania. Acheni hizo mambo, hata hao CCM ni watu sio chum.
 
Kwa hiyo kulea ufisadi ndio kutunziana heshima.

Walimwambia alipe kodi kama ambavyo wewe pia unaweza kuambiwa, lakini yeye akitaka afanye huo ufisadi, sasa kanuna, kwa maana hiyo ufisadi hautakiwi kwa sasa.
 
Walimwambia alipe kodi kama ambavyo wewe pia unaweza kuambiwa, lakini yeye akitaka afanye huo ufisadi, sasa kanuna, kwa maana hiyo ufisadi hautakiwi kwa sasa.
Lkn ufisadi wa makonda kupitisha makontena yake bandarini hautaonekana kwa sasa,mpk siku atakapo kivuruga chama ndipo watamsema na yeye.

dodge
 
Lkn ufisadi wa makonda kupitisha makontena yake bandarini hautaonekana kwa sasa,mpk siku atakapo kivuruga chama ndipo watamsema na yeye.

dodge

Hata makonda makontena yake waligawa kwa hiyo kama una ushahidi mwingine lete hapa.
 
Haka ka chakubanga bhana....

Kalikuwa kanamwita Lowassa fisadi alipokuwa upinzani, alivyorudi CCM hatukasikii tena kakibweka...

Yaani mtu anaonekana mchafu akitoka CCM...

Horace Kolimba awaambia chama kimepoteza dira na mwelekeo wakabisha na bado wanaendelea kubisha lakini ukweli unaonekana zairi shairi
 
Daah Kinana mwizi sana,kontena 700 bado meli yake ikakamatwa na meno ya tembo daah kutafuta mtu msafi CCM ni sawa na kutafuta bikra kwenye wodi ya wazazi.

dodge

Huyo Kinana alifaa awe Jela kitambo sana.
 
Hizi ni kauli za kijinga sana siku zote mlikuwa wapi kusema inaonyesha wazi CCM ndio ngome ya mafisadi
huyu hapa
 

Attachments

  • Apandacho mtu ndicho atakachovuna ( 268 X 480 ).mp4
    370.1 KB
Haka ka chakubanga bhana....

Kalikuwa kanamwita Lowassa fisadi alipokuwa upinzani. Tena hakakuishia hapo bali alimwita mgonjwa anayejinyea.... alivyorudi CCM hatukasikii tena kakibweka...

Yaani mtu anaonekana mchafu akitoka CCM...
Yeye ana container ngapi bandarini?Yaani kuwe na kiongozi wa chama mwenye containers 700 hajalipia kodi halafu mnataka kumhoji kamati ya chama badala ya TAKUKURU/Mahakama ya Mafisadi?Huko CCM ni yupi ambaye siyo fisadi?Hiyo kamati yenu ni POLICE,TRA,TAKUKURU au Mahakama?
Ukifikiria propaganda zenu zinaweza kutufikisha kweny nchi ya viwanda vilivyotelekezwa?Mnadhani hatujitambui?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala la kujiuliza, kwani hivi kulipa kodi ni dhamana ya CCM? Nilifikiri nchi hii wenye dhamana ya kuzungumzia Mambo ya kodi ni TRA peke yao? Inakuwaje Leo Katibu muenezi wa CCM anazungumzia masuala ya kodi Bandarini? Kama ni kweli hizo Habari kazipatia wapi? Kama amezipata TRA, maana yake TRA wamepoteza sifa ya kuwa wakala wa Serikali ya kukusanya kodi kwa kosa la kutoa Data za wateja wao, au kwa maana nyengine wanaitumia dhamana waliyopewa kisiasa?
 
huwa sioni kazi ya maana wanayofanya hao kina Kinana na wenzake kwenye kuwasidia mshinde chaguzi, coz kama ni wizi wa kura mnaufanya hovyo kila mtu anaona, polisi, tume vyote vinajulikana kuwabeba sasa kazi ya maana wanayofanya hao ni ipi..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…