Aliyekuwa mjumbe wa Tume Maalum ya Katiba (maarufu-Tume ya Warioba) na mchambuzi wa siasa, Humphrey Polepole, usiku wa kuamkia jana alivamiwa na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake,Mbezi Beach, Dar.
Polisi walifika haraka eneo la tukio. Hakuna madhara yaliyoripotiwa, pia hakuna aliyekamatwa kuhusishwa na tukio hilo.
CHANZO: Raia Tanzania
Polisi walifika haraka eneo la tukio. Hakuna madhara yaliyoripotiwa, pia hakuna aliyekamatwa kuhusishwa na tukio hilo.
CHANZO: Raia Tanzania