Humphrey Polepole atakuwa channel 10

Hako Kapumbavu siyo kakusikiliza hata kidogo.Ni kakupuuzwa.
 
Naona kadiri siku zinavyo songa nitakuwa siangalii tv kabisa. Sitaki kabisa mtu aje anishawishi kubadilisha msimamo wangu wa kumpigia kura ndugu Edward Lowassa.
 
Albert Kilala na Marin Hassan .....unaona yupi anatangaza au anaongoza mjadala vizuri.Napenda Marin Hassan awe Azam na mzee Tido
 
polepole ni mashine nzuri ya CCM!!! yenye kutaka maslahi.
 
wasiotumia akili ndilo kundi pendwa na chama cha mapinduzi i nadhan HP ni mmoja wa watu wa kundi hili pendwa kwa ccm
izzo: kuhoji uadilifu wa kiongozi wa ngazi ya juu kabisa iwe noma, du, kweli ushabiki ni noma! Kura yangu nitaitumia kwa busara kwa kumpa tu yule ambaye ana uadilifu wa kuridhisha. Nimeshauri kwenye JF wagombea ngazi zote, hasa Uraus wataje mali zao na jinsi walivyozipata, katika kampeni zinazoendelea mbali na ahadi. Hili litatupa sisi wapiga kura nafasi ya kupima uadilifu wa, pia kuhakiki kujilimbikizia mali isivyo halali, wakiwa madarakani.
 
Last edited by a moderator:
pole pole arudishe zile laki 6 alizowapiga NIDA kwa mgongo wa TYC.
 
Acheni ujinga jamani makamanda msiongee bila kujielewa. Hao wakina Chenge, Tibaijuka na wengineo ata deal nao Magufuli. Hoja ni yule anayekalia kiti cha urais tuu kwa sasa. Mbona sisi ukawa tunasema hoja ni kwanza kuingoa ccm, halafu tuta deal na Lowasa baada ya hapo. Dr Slaa haikubali hoja hii kwa sababu atapoupata urais tu Lowasa basi katiba itamlinda. Atakuwa siyo unayemjua. Sasa embu tuambizane tutashughulika naye vipi wakati yupo ikulu.ni ndoto tunazodanganywaaa! Wananchi tuzinduke.
Sisi wafuasi wa Dr Slaa hatumkubali Lowasa na group lake la wapiga dili kamwe hatutawapa kura. Ni kheri Magufuli aendelee kuongoza na kuwa rais kuliko kupeleka Lowasa, Sumaye, Makongozo Mahanga, Msindai na matapeli wengine.
 
Hivi chaneli ten hawana watu wengine wa kuwaalika? Mbona kuna wachambuzi wengi sana nchini?
 
Hata kama lowasa atangaze usiku kuchwa kwamba yeye fisad....lakini nitampa kura yangu....na aongee tu nitaangalia Friday night live eatv....siangalii upuuuz wake
 
nitamsikiliza slaa star tv! .... Akiwachana nyumbu
 
Ukawa akikisheni mtatafuta mtu wa kumkaba pole pole,yeye kila siku yuko kwenye tv,na akiwa kwenye tv kazi yake ni kumchafua lowasa tu,msikubali,mtafutieni dogo mmoja kutoka bavicha ama bawacha mwenye kichwa kizuri amkabe huyu mpotoshaji mapema na apambane naye
Huyu mtu ni mtakatifu wa kusema uongo na kusingizia wenzake ni wezi
 
Huku slaa huku polepole.mtamuuwa huyu Lowasa jamani.
 

Katukanwa na nani hapa! wenzio wanajifunza mawazo tofauti endelea na mahaba yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…