Humphrey Polepole ana codes

Huyu ndio polepole OG wa enzi za mabadiliko ya katiba, alipokua mwenezi alivaa ngozi ya kondoo kumbe ni chui. Balozi ni chui kweli kweli, sasa ameuvaa uhalisia wake,
KARIBU TANZANIA
Sio kwa njia ya kawaida lazima atasafiri kwa maelekezo asije geuka jiwe la chumvi over...
 
True or false... za uchochoroni hao ni mahasimu wawili toka baba na sasa watoto.. ukitaka muuwa agent mpelekee wakufanana naye but mission moja
 
Ukitaka kujuwa mambo yatakuwa moto mpaka kila mtu aimbe wimbo wa Taifa chumbani... nani mwenye codes za serikali yatano... ukiangalia move ya Kakoko, alafu Makamo, next Majaliwa huwitaji macho sita unahitaji kujuwa drop ina sababu.. Sema sasa hao jamaa ni miamba walikuwa karamu ya mwisho na hiyo karamu hata hao wana angaika nao hawakuwepo wengine wamesema wanarudi uraiani wamekoma utumishi boss hasomi mchezo hasomi maandiko Vile maafa ya sodoma na gomora yalitokea same princple inatumika kwenye huu mchezo... Israel wana principe ina itwa samson principal... over
 
Polepole anasameheka kuliko huyo vampire aliyekunywa damu ya mzee kibao
 
Ulikuwa na point ila kumtaja Jiwe umeharibu. Huyo alikuwa laana ya Taifa
 
Ones Azania, always Azania!
Azania ni Top market kwenye vetting ya watu wa Tiss. Azaboy Ni kitovu cha kuchakata vipenyo!.
 
Wakati mko bize na Mh. Balozi Polepole mjue sie CCM tupo bize na mchakato wa Uchaguzi Mkuu! Tusijelaumiane huko mbele!!
Mgombea urais bado hamjampata. Mchakato wenu wa kumpata mgombea urais utakapoanza ndio utajua kumbe hamkuwa bize
 
KATIBU MKUU WA CHAMA(mtendaji mkuu wa chama!) KUWA MGOMBEA MWENZA!....? Mmeona wapi hili kokote kule duniani?!

Hili tu linaharamisha uteuzi wa mgombea kupitia chama chake! Kwa maana mtendaji mkuu wa chama kinachoteua, tayari ni mnufaika wa uteuzi! Maana ni mgombea mwenza!

Polepole ana vingi...muda utaongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…