Humphrey Polepole amechanganyikiwa ?

Humphrey Polepole amechanganyikiwa ?

Nisingependa kuchangia kwa kumbeza PolePole, kwa sababu ni haki ya mtu kubadili mawazo baada ya muda na kuwaza au kuwa na mtazamo tofauti. Lakini kwa busara angeanza kwanza kukiri kuwa ametafakari akaona alifanya makosa 1,2,3 kushiriki kwenye lile zoezi. Na alitakiwa pia akiri kuwa zoezi lile limegharimu Taifa kiasi gani, aonyeshe masikitiko yake kwa kulipwa fedha nyingi za umma kufanya kitu ambacho leo hakiamini. Akisha kiri hivyo tutaanza kumuelewa. Lakini kuinuka ghafla na kuikana tu hadharani ni aibu. Binadamu hauwezi kujifanya umejivua akili ukavaa nyingine.
 
Mtu aliyehusika kuratibu maoni ya wananchi kwenye Mchakato wa Katiba mpya ulioitwa KATIBA YA WARIOBA, aliyehusika kwenye kila kitu kwenye mchakato ule , leo anaibuka na kudharau waziwazi maoni ya wananchi

View attachment 2024346

Leo Polepole anasema kwamba Muundo wa Muungano si hoja ya maana , Madaraka ya Rais kwake leo si kipaumbele , hataki hata kusikia kuhusu Tume huru ya uchaguzi , eti si muhimu .

Hivi huyu hata kama kalogwa mbona aliyemloga atakuwa katili sana ! Kulogwa ubongo ni jambo baya mno .

Mzee Warioba utabaki kuwa shujaa wa nchi hii baadaya Nyerere J. K. Wengine wote ni wachumia tumbo, they are rubbish, huyu dogo anashindwa kujitambua ila ni wazi ana shida kichwani baada ya Mwakyembe aliye ipinga degree yake hadharani
 
Mtu aliyehusika kuratibu maoni ya wananchi kwenye Mchakato wa Katiba mpya ulioitwa KATIBA YA WARIOBA, aliyehusika kwenye kila kitu kwenye mchakato ule , leo anaibuka na kudharau waziwazi maoni ya wananchi

View attachment 2024346

Leo Polepole anasema kwamba Muundo wa Muungano si hoja ya maana , Madaraka ya Rais kwake leo si kipaumbele , hataki hata kusikia kuhusu Tume huru ya uchaguzi , eti si muhimu .

Hivi huyu hata kama kalogwa mbona aliyemloga atakuwa katili sana ! Kulogwa ubongo ni jambo baya mno .

Huyu ndo mmoja wa wanachama wa chama cha Demokrasia na maendeleo. Uhuru wa mawazo ya mtu Ni pale tu CHadema itakaposema. Unajua nini. Wewe ungeenda wasafi TV ukaeleza hoja zako bila kudharau za Wenzako. Walaji tutapima. Mkuu kazi unayo.
 
Mtu aliyehusika kuratibu maoni ya wananchi kwenye Mchakato wa Katiba mpya ulioitwa KATIBA YA WARIOBA, aliyehusika kwenye kila kitu kwenye mchakato ule , leo anaibuka na kudharau waziwazi maoni ya wananchi

View attachment 2024346

Leo Polepole anasema kwamba Muundo wa Muungano si hoja ya maana , Madaraka ya Rais kwake leo si kipaumbele , hataki hata kusikia kuhusu Tume huru ya uchaguzi , eti si muhimu .

Hivi huyu hata kama kalogwa mbona aliyemloga atakuwa katili sana ! Kulogwa ubongo ni jambo baya mno .
He knows what the public pays attention with, he is at work experimenting his intellectual tricks, political spinning on diverse spheres. The practice of intellectual provocation.
 
Mtu aliyehusika kuratibu maoni ya wananchi kwenye Mchakato wa Katiba mpya ulioitwa KATIBA YA WARIOBA, aliyehusika kwenye kila kitu kwenye mchakato ule , leo anaibuka na kudharau waziwazi maoni ya wananchi

View attachment 2024346

Leo Polepole anasema kwamba Muundo wa Muungano si hoja ya maana , Madaraka ya Rais kwake leo si kipaumbele , hataki hata kusikia kuhusu Tume huru ya uchaguzi , eti si muhimu .

Hivi huyu hata kama kalogwa mbona aliyemloga atakuwa katili sana ! Kulogwa ubongo ni jambo baya mno .
Huyo mbwiga alipopata mabilioni kwenye ile project haramu ya kununua wapinzani uchwara akaacha kumeza ARV sasa naona wadudu wameanza kuchanganya.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mtu aliyehusika kuratibu maoni ya wananchi kwenye Mchakato wa Katiba mpya ulioitwa KATIBA YA WARIOBA, aliyehusika kwenye kila kitu kwenye mchakato ule , leo anaibuka na kudharau waziwazi maoni ya wananchi

View attachment 2024346

Leo Polepole anasema kwamba Muundo wa Muungano si hoja ya maana , Madaraka ya Rais kwake leo si kipaumbele , hataki hata kusikia kuhusu Tume huru ya uchaguzi , eti si muhimu .

Hivi huyu hata kama kalogwa mbona aliyemloga atakuwa katili sana ! Kulogwa ubongo ni jambo baya mno .
Swali fikirishi hivi milembe ni hadi upelekwe ?
 
Back
Top Bottom