Humphey Polepole ni badiliko kubwa CCM

Humphey Polepole ni badiliko kubwa CCM

Tunamtakia kila la kheri katika nafasi yake hiyo,Mungu amsimamie na kumuongoza.
Huyu Mungu mnamfanyia dhihaka sana. Hili la Polepole pamoja na sifa mnazompa, ni sawa na Askofu Mokiwa aamue kujiunga na ile jumuia ya Gamboshi (wachawi) kisha mseme Mungu atamsimamia atende yaliyo mema akiwa huko.
 
8e6b443b7f5354aaf5dba6f4a61920e1.jpg
 
Kupata katiba nzuri si mwarobaini wa unacho amini hakiko sawa!

With reference kwa jirani zetu KENYA wamepata katiba waliyokuwa wanaihitaji cha kiasi kikubwa but ufisadi bhado ni donda dugu kwao!!

Kuwa na katiba ni jambo moja na kuiheshimu, kufuata matakwa yake na kuilinda ni jambo jingine.
Hata hivyo, kudai katiba mpya kama hakuna utamaduni wa kufuata iliyopo ni kupoteza raslimali bure, ni kama kununua kitu ambacho hutakitumia.
 
naona umeamua kuja huku kujipigia debe
ww ni nan?
 
Kuwa na katiba ni jambo moja na kuiheshimu, kufuata matakwa yake na kuilinda ni jambo jingine.
Hata hivyo, kudai katiba mpya kama hakuna utamaduni wa kufuata iliyopo ni kupoteza raslimali bure, ni kama kununua kitu ambacho hutakitumia.
Well said !!
Kimsingi hata ule mchakato wa katiba mpya tulipoteza rasilimali zetu bure! Ilitupasa tupitie katika era ya kufunzwa nidham ( self integrity then national integrity).

Hawezekani tuka tunadai katiba mpya while hata iliyopo pamoja na mapungufu yake still ilikua ngumu hata kuwa na nidhamu ya kulipa kodi, kutotoa au kupokea rushwa na nk
 
Kupata katiba nzuri si mwarobaini wa unacho amini hakiko sawa!

With reference kwa jirani zetu KENYA wamepata katiba waliyokuwa wanaihitaji cha kiasi kikubwa but ufisadi bhado ni donda dugu kwao!!
Ufisadi wa nini mbona uongelei ufisadi wenu hapo eti mnaidai serikali 1.6 billion sijui kwa biashara hipi?
 
Tunahitaji kujua kama bado anaamini taifa linahitaji katiba mpya na kama kwa nafasi yake mpya ataipigania waziwazi.
Hapo ndipo tutajua rangi zake za kweli.
 
Tunahitaji kujua kama bado anaamini taifa linahitaji katiba mpya na kama kwa nafasi yake mpya ataipigania waziwazi.
Hapo ndipo tutajua rangi zake za kweli.
Nadhani kinachohitajika zaidi ni kuhakikisha kuwa kunakuwa na Integrity over! Tukimaliza hili tutahitaji sasa hizo mbwembwe zingine za katiba, ili hata hiyo katiba mpya ambayo tumetumia na tutatumia rasilimali nyingi sana iweze kutufaidisha!!
 
namba 2 umechemka!!!!
Hata namba moja kachemka, polepole angekuwa anasimamia anachokisema na kukiamini asingekubali kuteuliwa kwenye nafasi yoyote ndani ya ccm maana polepole ana amini katika serikali 3 lakini tangu apate vyeo hajafungua mdomo kudai hilo, polepole ni mchumia tumbo kama walivyo wengine wengi ila ni kiumbe kinachokula kama panya kinag'ata na kupulika yeye alijinasib kama POPO si ndege wala si mnyama, wenye upeo finyu wa kufikiri wakaona ni mnyama.
 
Una uhakika na unachokinena? Unamkumbuka wakati wa katiba alikuwa na msimamo gani? Na baadaye alikuwa kivipi? Mimi Siyo mwana siasa ila ni tahadhari tu; mimi ni kati ya wale tulioambiwa hatuna utukufu wa Mungu
 
Back
Top Bottom