Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,787
- 4,875
hashycool, ipoze halafu uitupie upya ukwelinamba 2 umechemka!!!!

Huo ni uteuzi nzuri sanaNdugu Watanzania,
Kufuatia kuteuliwa kwa bwana Polepole ktk nafasi ya katibu wa Itikadi na Uenezi ccm taifa ni kukalibisha mabadiliko mengine ndani ya ccm kwa hoja zifatazo,
1. Polepole ni mtu mwenye kufanya tathimini pana ya mambo kabla ya kuyasema na kuamua. Ni mtu mwenye kusema kile kinachoaminika ni sahihi pasipo kujali atawafurahisha au kuwachukiza akina nani. Ni mtu mwenye fact kuliko porojo ukilinganisha na mtangulizi wake ktk nafas hiyo.
2. Polepole ni mtu ambae hakuwa ktk siasa za makundi ndani ya ccm hvy anapata nafas hii km mtu huru yani asiyeegemea kundi lolote ukilinganisha na wana ccm wengi waliokuwa wakijiendesha kwa makundi ndani ya chama kimoja. Hivyo ataisimamia na kuisemea ccm badala ya kuwasemea watu fulani km ilivyokuwa kwa mtangulizi wake.
3. Polepole ni mtu anaendana kimtazamo na mwenyekiti wa ccm taifa hvy hii ni nguzo mhmu kwao kupika chakula kinachohitajika na walaji tofauti na zamani walaji walilazimishwa kula chakula wasichokita kwani wapishi ndiyo walioamua nini cha kupika pasipo kuangalia mahitaji ya walaji.
Kiujumla Polepole ataleta mageuzi makubwa sana hasa namna ya kuwasilisha hoja za chama na utetezi wa chama kwa umma kwani mantiki kwa polepole ni mhimu sana kuliko polojo. Hivyo tunategemea atawabadilisha pakubwa sana namna ya kutetea hoja za chama. Chama lazma kijijitetee kwa kutimiza wajibu wake kwa wanachama na serikali yake. Japo changamoto kubwa kwa Polepole ni namna mazingira ya siasa yalivyo kwa sasa.
Kutuhumu kiasi hiki ni jambo kubwa sana, sasa ili tuwe na wewe kimtizamo tunaomba utuwekee walau mambo makubwa mawili tukuaminiPolepole ni mtu mnafiki na asieaminika hata kidogo, ni mtu anaejipenda pekee, na anaependa mawazo yake ndiyo ya onekane mazuri mbele ya jamii.
ni mtu ambae anaweza kukuuwa wakati anacheka na wewe, ni mtu anaetumia uwelewa mdogo wa watu kwa manufaa yake.
ni mtu asiekuwa na msimamo na mara nyingi huwa hajui anasimamia nini ila yeye cha muhimu huwa ni tumbo lake.
Wana Jf nafikili mnakumbuka kwa jinsi alivyotuaminisha kuwa chama cha ccm ni kibaya kwa sababu kimekataa kutoa katiba nzuri na badala yake kimeleta katiba mbaya lkn wakati huohuo wakati wa kampeni akawa mstali wa mbele kutuaminisha kuwa ccm ni chama bora na kinafaa kuongoza
.
Ni yeye aliyekua anatetea hoja na kusema kuwa hataki ukuu wa wilaya na ni vyeo ambavyo vinatakiwa kufutwa lkn alipopewa wala hakukataa bali alikubali na sasa wala husikii akizungumzia rasimu ya katiba ya waryoba aliyotuaminisha kuwa ataipigania hadi mwisho wa maisha yake.
Ni mtu anaejijali yeye na familia yake, kwahiyo aliipinga rasimu ya katiba mpya si kutoka moyoni bali ni baada ya kubaini mawazo yake mengi yaliondolewa ambayo yangemfanya aonekane shujaa
Je wakati wa kura ya maoni atakua upande gani? Magufuri amemtega ili unafiki wake ujulikane kwa watu, ndipo ule msemo maarufu wa fisi wa ZINAYEYUKA utatimia
Una mda gani toka unamfahamu huyu MTU?Ndugu Watanzania,
Kufuatia kuteuliwa kwa bwana Polepole ktk nafasi ya katibu wa Itikadi na Uenezi ccm taifa ni kukalibisha mabadiliko mengine ndani ya ccm kwa hoja zifatazo,
1. Polepole ni mtu mwenye kufanya tathimini pana ya mambo kabla ya kuyasema na kuamua. Ni mtu mwenye kusema kile kinachoaminika ni sahihi pasipo kujali atawafurahisha au kuwachukiza akina nani. Ni mtu mwenye fact kuliko porojo ukilinganisha na mtangulizi wake ktk nafas hiyo.
2. Polepole ni mtu ambae hakuwa ktk siasa za makundi ndani ya ccm hvy anapata nafas hii km mtu huru yani asiyeegemea kundi lolote ukilinganisha na wana ccm wengi waliokuwa wakijiendesha kwa makundi ndani ya chama kimoja. Hivyo ataisimamia na kuisemea ccm badala ya kuwasemea watu fulani km ilivyokuwa kwa mtangulizi wake.
3. Polepole ni mtu anaendana kimtazamo na mwenyekiti wa ccm taifa hvy hii ni nguzo mhmu kwao kupika chakula kinachohitajika na walaji tofauti na zamani walaji walilazimishwa kula chakula wasichokita kwani wapishi ndiyo walioamua nini cha kupika pasipo kuangalia mahitaji ya walaji.
Kiujumla Polepole ataleta mageuzi makubwa sana hasa namna ya kuwasilisha hoja za chama na utetezi wa chama kwa umma kwani mantiki kwa polepole ni mhimu sana kuliko polojo. Hivyo tunategemea atawabadilisha pakubwa sana namna ya kutetea hoja za chama. Chama lazma kijijitetee kwa kutimiza wajibu wake kwa wanachama na serikali yake. Japo changamoto kubwa kwa Polepole ni namna mazingira ya siasa yalivyo kwa sasa.
Huyu mtu alijidhihirisha wazi kwa maneno na matendo yake kuwa si mkweli. Zamu yangu ikifika utaonaKutuhumu kiasi hiki ni jambo kubwa sana, sasa ili tuwe na wewe kimtizamo tunaomba utuwekee walau mambo makubwa mawili tukuamini
sidhani kama ataweza, maana sio mtu wa porojo, wakati nafasi hii inataka mtu wa porojo nyingi, i mean sounds, hii nafasi usipokua muongo hautaiweza
Hayo ndo majungu na uongo ambao umeganda kwenye vichwa vyetu, acha kijana apige kazi na ww endelea na majungu, lakini naamini siku huwa hazirudi nyuma bro. Muda wa majungu umepitwa na wakati.Polepole ni mtu mnafiki na asieaminika hata kidogo, ni mtu anaejipenda pekee, na anaependa mawazo yake ndiyo ya onekane mazuri mbele ya jamii.
ni mtu ambae anaweza kukuuwa wakati anacheka na wewe, ni mtu anaetumia uwelewa mdogo wa watu kwa manufaa yake.
ni mtu asiekuwa na msimamo na mara nyingi huwa hajui anasimamia nini ila yeye cha muhimu huwa ni tumbo lake.
Wana Jf nafikili mnakumbuka kwa jinsi alivyotuaminisha kuwa chama cha ccm ni kibaya kwa sababu kimekataa kutoa katiba nzuri na badala yake kimeleta katiba mbaya lkn wakati huohuo wakati wa kampeni akawa mstali wa mbele kutuaminisha kuwa ccm ni chama bora na kinafaa kuongoza
.
Ni yeye aliyekua anatetea hoja na kusema kuwa hataki ukuu wa wilaya na ni vyeo ambavyo vinatakiwa kufutwa lkn alipopewa wala hakukataa bali alikubali na sasa wala husikii akizungumzia rasimu ya katiba ya waryoba aliyotuaminisha kuwa ataipigania hadi mwisho wa maisha yake.
Ni mtu anaejijali yeye na familia yake, kwahiyo aliipinga rasimu ya katiba mpya si kutoka moyoni bali ni baada ya kubaini mawazo yake mengi yaliondolewa ambayo yangemfanya aonekane shujaa
Je wakati wa kura ya maoni atakua upande gani? Magufuri amemtega ili unafiki wake ujulikane kwa watu, ndipo ule msemo maarufu wa fisi wa ZINAYEYUKA utatimia
Kwani uwongo?Hayo ndo majungu na uongo ambao umeganda kwenye vichwa vyetu, acha kijana apige kazi na ww endelea na majungu, lakini naamini siku huwa hazirudi nyuma bro. Muda wa majungu umepitwa na wakati.
Sidhani kama ndio hivyo muda wote. Kingunge wakati akiwa na cheo hicho,alituambia kuna mambo kadha alimshauri M/Kt wake(Mwl. Nyerere) na akayakubali. Kwa mindset ya mtu kama Polepole,naamini kuna mengi mazuri atashauri kwa manufaa ya wote. I pray for his goodwill in building our nation !Kama msemaji wa chama hatakuwa akisema maneno yake bali chama kitamtuma aseme nini!!
Sijui kivipi? Hukumsikiliza mwenyekiti nini? Maisha tunabahatisha ila maoni hatubahatishi. oiViwili vipi kama kitu uijui bora ukae kimya
Hahahaha hakuna kofia mbili mkuuSijui kivipi? Hukumsikiliza mwenyekiti nini? Maisha tunabahatisha ila maoni hatubahatishi. oi
sawa sawaNa nafasi yake Mkuu wa Wilaya- itabidi aiche- maana sio rahisi kufanya kazi ya porojo kitaifa na ukiwa wilayani uwe unafanya kama kiongozi wa wilaya bila kupendelea vyama! Machali!! Rudi upesi CCM utapata ukuu wa wilaya anayoiahca Polepole!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!