jimama26
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 3,258
- 4,364
sidhani kama ataweza, maana sio mtu wa porojo, wakati nafasi hii inataka mtu wa porojo nyingi, i mean sounds, hii nafasi usipokua muongo hautaiweza
Na nafasi nyingi za hiki chama zinahitaji sifa hizi. Kimejengeka hivi. Naona kama teuzi za hivi karibuni hazikufanyika kiumakini. Kuchemsha tu.