Humaniq app inajihusisha na nini?

Humaniq app inajihusisha na nini?

gm man

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
1,177
Reaction score
1,456
Wakuu,

Leo amekuja mtu hapa nilipo ameniambia kuwa kuna app inaitwa humaniq app ambapo ukiwaunganisha watu wa nne unapata mkwanja lakini nimejaribu kumuuliza inahusiana na nini ameshindwa kunipa maelezo, nimejaribu ku google pia sijapata maelezo.

Kinachonipa hofu ni kuwa wanahitaji namba ya m pesa(active) ndio ufanyie registration.


Kwa anaye fahamu naomba anijuze juu yah ii humaniq app na ukweli kuhusu kwanini wahitaji namba yangu ya cm ya pesa
 
Wakuu leo amekuja mtu hapa nilipo ameniambia kuwa kuna app inaitwa humaniq app ambapo ukiwaunganisha watu wa nne unapata mkwanja..lakini nimejaribu kumuuliza inahusiana na nini ameshindwa kunipa maelezo..nimejaribu ku google pia sijapata maelezo

Kinacho nipa hofu ni kuwa wanahitaji namba ya m pesa(active) ndio ufanyie registration…


Kwa anaye fahamu naomba anijuze juu yah ii humaniq app na ukweli kuhusu kwanini wahitaji namba yangu ya cm ya pesa
Hapa panafaa kukaa kwanza,mkuu na mm nasubiri majibu.
 
Hapana yenyewe inajitegemea haina connection yyt na bitcoin.. Ni km zilivyo digital currency zingine kama ethereum, litecoin, n.k
 
Hapana yenyewe inajitegemea haina connection yyt na bitcoin.. Ni km zilivyo digital currency zingine kama ethereum, litecoin, n.k
ok ingekuwa poa kama ungeniwekea link hapa ambayo naweza kujua zaidi juu ya hiki kitu
 
Kwa anayejua jinsi ya kuweka na kuto hela kwenye mfumo wa bitcoin atujuze bc jaman
 
Ni kama bitcoin. Nayo ni digital currency. Symbol yake ni HMQ
Hivi nini faida ya kutumia digital currency ambayo haijawa issued na BOT au any national bank for that matter? Kwanini mtu usitumie tu electronic money lakini iwe ni Tshs.currency? Eg. TIGO PESA
 
Kuna watu wamelia wiki chache zilizoisha hasa wa kanda ya kaskazini. Kuna website ilikuwa ina itwa duttex.com mchezo wao ni huo huo walikuwa wanapokea malipo ya mpesa na tigopesa. Jamaa kasepa na pesa na website kafuta. Watu waliweka zaidi ya milioni moja.
 
Mkishapata hayo mamilioni yenu naomba kibarua hata cha gardener. Najua nikiwaomba kuwajengea nyie huwa mnanunua mahekalu mwaogopa kuibiwa cement na nondo ka mimi ninavyoogopa kuingia mkenge na ma- beachcoin nini uko!
 
Back
Top Bottom