Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,550
- 3,092
Kama ni shamba kwanini iwe kipindi hiki cha mgomo wa madaktari?.ccm wenzio wamesitisha uamuzi wao waliotegemea kuutoa leo bungeni,wameogopa reaction ya umma.Any way, hata waliofanya kitendo hicho nao wanaweza kuchangia uzi huu ili ku-fake the all issue.
Wamekosea hapo kusema "Most likely alleged to be state agents" wangeacha blank kama hapo mwanzo waliposema "Unknown group of individuals" , kwa kutumia maneno haya inaonesha wao wanakuwa driven na emotions zaidi kuliko weledi! Pathetic!
Je ikibainika huko mbele kwamba wana ugomvi wa kugombea shamba la urithi Dr Ulimboka na ndugu zake?
Kama umeshindwa kuitisha hayo maandamano sasa hivi hata ungekuwa kwenye chama gani cha wanaharakati usingeitisha maandamano. Mtu uliyejificha nyuma ya monitor hauwezi ukatoa uchafu kama huo kwa huyu mama jasiri...!
View attachment Doc2.docMkuu naomba uiweke hiyo doc katika format ambayo ni rahisi ku-download ili iwe rahisi tunaotumia simu tuweze kuisoma
DR BALALI ? DR MWAKYEMBE? MACHALI (MP)? , KIWIA (MP)?, nafkiri tunakaribia kuzoea haya matukio sasa.Dr.Bisimba,this abuse and harrasement it is normal to our country,WHERE are Gilman Rutihinda,Horace Kolimba,Kombe,Malima etc,but this remind me about the death of the late John Rutaisingwa-JAMHURI YA UKENGE
Haswa hata mie nimeshtuka kidogo nilipofika hapo, but may be wanao ushahidi wa kutosha ndo mana wamekuwa jasiri!.
Hivi Tamko la ku-condemn ukosefu wa huduma kwa wagonjwa wetu ili kuiwajibisha serikali lilitoka lini?
Hawa wachumia matumbo wa Nothing Going On (NGO) wapuuzi kabisa, badala ya kusimama na wananchi wanaokufa kila siku kwa kukosa huduma wao wanasimama na huyo msaliti Dr Ulimboka. Inatia kinyaa mama mzima kugeuka kibaraka wa wanasiasa wa CDM.
Haswa hata mie nimeshtuka kidogo nilipofika hapo, but may be wanao ushahidi wa kutosha ndo mana wamekuwa jasiri!.
Hivi Tamko la ku-condemn ukosefu wa huduma kwa wagonjwa wetu ili kuiwajibisha serikali lilitoka lini?
Ndugu zake ulimboka Bunduki watoe wapi?
Ndiyo kama hili sasa. Huyu jamaa anasimama kidete kudai mazingira mazuri ya kazi ili waweze kutoa huduma nzuri kwa watanzania, lakini serikali inapoamua kumvictimize, wanaharakati wanatoa tamko la kulaani. Sasa hili tamko lina impact gani? Damu aliyoimwaga Ulimboka kwaajili ya watanzania imefidiwaje hapa?
Ndiyo maana nasema huu ni upuuzi usiomithilika kwa vyama makini vya kutetea haki za binadamu kutoa matamko ya reja reja kiasi hiki.
Umepost sana kwenye server ya JF sasa ni wakati wa kuchangia tokea umejiunga 20-june- 2011 hujatoa hata cent hapa wewe gamba
Zinauzwa madukani kama pipi hata wewe ukitaka kesho unaenda kununua, ukifuata taratibu unapata.
Jiulize kwanza majambazi bunduki wanatoa wapi? kwani ni lazima mtu mwenye kisasi na mwenzake aende front mwenyewe si anaweza kutuma watu?
Madai ya msingi yapi yaliyotekelezwa na serikali? Si uwapeleke hao ndugu zako kwenye private Hospitals sasa wasife, unamlalamikia nani?
Wamekosea hapo kusema "Most likely alleged to be state agents" wangeacha blank kama hapo mwanzo waliposema "Unknown group of individuals" , kwa kutumia maneno haya inaonesha wao wanakuwa driven na emotions zaidi kuliko weledi! Pathetic!
Je ikibainika huko mbele kwamba wana ugomvi wa kugombea shamba la urithi Dr Ulimboka na ndugu zake?
Na wewe unatia kinyaa sana kama avatar yako kwa kuwa kibaraka wa mafisadi papa yenye mabilioni huko uswiss.
Ah ndugu yangu elimu yenyewe ya ngumbaru sheria ntaijulia wapi? Mie nimeuliza tu kama ni sawa walivyoweka 'hadharani na kituhuma" kihivyo kwani hata uhusiano uliwepo lakini bila kuwa na kidhibiti si inawezawageukia? (Ndio maana nikasema pengine wanao ushahidi)Naomba kuku uliza kama una elimu ya sheria. Me naona kuna uhusiano kabisa na serikali na huyo mtumishi wa ikulu atasaidia polisi(CCM). Duu yani mpaka naona ni mchezo wa kuigiza.