mama esta kuna mahali hujaelewa yani hiyo kitu Itakuwa mbadala wa password na ATM card na Chochote utakachofanya ni kama ilivyo leo hii hatutumii tena zile kadi zetu na vitambulisho vyetu vya kuandika kwa mkono kila kitu ni digital
View attachment 313002haka kadude ndio utawekewa mwilini mwako
Unapingana na hili wakati hata kitambulisho cha kura ulikipata kwa kufanyiwa vitu usivyovijua??? Biometric.....