Human growth hormone,Dawa za kukuongeza urefu

A.Ngindo

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
276
101
Jamani wadau naombeni mnielekeze sehemu yoyote au mtu yoyote ambae anaweza ni uzia hizi dawa au hospitali yoyote ambayo ina toa tiba hii kwa Tanzania
 
Mzee unataka kujiumba mwenyewe??..mwenyezi mungu kakukosea?
 
Back
Top Bottom