Hukuzaliwa ufanye kazi ambazo huna furaha nayo

Watu wengi wamekimbilia kazi ambazo sio chaguo la maisha yao, bali wamefuata fursa fulani lakini kiukweli sio kazi ya ndoto zao. Cha kufanya fanya bidii juu chini urudi katika ndoto zako. Mwenye masikio na asikie.

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Ndoto ni kuwa na pesa na uhuru wa kifedha hayo ya kufanya kazi usioipenda hayaongezi pesa na uhuru wako wa kifedha
 
Watu wengi wamekimbilia kazi ambazo sio chaguo la maisha yao, bali wamefuata fursa fulani lakini kiukweli sio kazi ya ndoto zao. Cha kufanya fanya bidii juu chini urudi katika ndoto zako. Mwenye masikio na asikie.

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
umesema kitu cha kweli. Mungu amemuumba kila mtu na talanta yake, tena yenye kipimo kamili. ndio maana wengine wakimaliza kazi waliyoletewa hakuna kilichobaki, Mungu anawachukua, ila wengi wanaondoka bila kuitumia kabisa.

Yesu alitoa mfano wa talanta, ametupatia sisi talanta, mmoja mbili, mmoja tano wengine 10. anatutaka tuzifanyie kazi hizo talanta, ukiifukia siku ya mwisho utakuwa accountable, atakuuliza nilikupeleka duniani kufanay hiki, wewe ukafanya kingine, kwanini? na uzuri wake ni kwamba, hata ufanyeje, kama upo mahali sio sahihi utajua tu na Mungu ni mwaminifu, atakufanya ujue kwamba hapo sio kwako ili utafute palipo pako. pia wakati mwingine, tunashindwa kujua kama tulipo ni pale Mungu ametukabidhi talanta kwasababu hatuna wa kumuuliza, hayupo wa kutupatia majibu, Mungu ndiye pekee atakupa jibu. sasa pale unapoishi gizani na hauna mawasiliano na Mungu, na haujakabidhi maisha yako kwa Mungu ili yeye akupeleke kwenye hatma/talanta yako, hautakuja kuwa na utetezi kwamba hukujua talanta, kule kukaa kwako mbali na Mungu uliamua wewe mwenyewe pengine ungemkubali Mungu awe kiongozi wako kwa kuokoka, angekuonyesha. kama umemkataa Mungu huna wa kumlaumu kwa matokeo yote yanayotokana na kukaa mbali na Mungu, ujilaumu mwenyewe. siku ya mwisho watu watalia na kusaga meno.

Matayo 25:16-18; biblia imeandika, 16 “Yule aliyepewa talanta tano alikwenda mara moja kuzifa nyia biashara akapata talanta tano zaidi. 17 Yule aliyepewa talanta mbili akafanya hivyo hivyo, akapata mbili zaidi. 18 Lakini yule mtumishi aliyepata talanta moja, alikwenda akachimba shimo akaifukia huko.

19 “Baada ya muda mrefu yule bwana wa hao watumishi alirudi akakagua hesabu za fedha zake alizowaachia. 20 Yule mtumishi aliyepokea talanta tano akaja, akaleta talanta tano zaidi. Akasema, ‘Bwana ulinikabidhi talanta tano, hizi hapa, nimezalisha talanta tano zaidi.’ 21 Bwana wake akamwambia, ‘Umefanya vizuri sana, mtumishi mwema na mwaminifu; umekuwa mwaminifu katika machache; nitakupa mamlaka juu ya vitu vingi zaidi. Njoo ufurahi pamoja na bwana wako.’ 22 Yule mwenye talanta mbili naye akaja. Akasema, ‘Bwana, ulinikabidhi talanta mbili. Nami nimepata faida, hizi hapa talanta mbili zaidi.’ 23 Bwana wake akajibu, ‘Umefanya vizuri sana, mtumishi mwema na mwaminifu; umekuwa mwaminifu katika machache, nami nitakupa mamlaka juu ya vitu vingi zaidi. Njoo ufurahi pamoja na bwana wako.’

24 Kisha yule mtumishi aliyepokea talanta moja akaja, akasema, ‘Bwana, nilijua kwamba wewe ni mtu mgumu, unavuna ambapo hukupanda na kukusanya ambapo hukutawanya mbegu. 25 Kwa hiyo niliogopa, nikaenda nikaificha talanta yako ardhini. Hii hapa mali yako.’

26 Lakini Bwana wake akamjibu, ‘Wewe mtumishi mwovu na mvivu! Ulijua kwamba ninavuna nisipopanda na kukusanya nisipota wanya mbegu? 27 Mbona basi hukuweka fedha zangu benki ili nita kaporudi nizichukue na faida yake? 28 Mnyang’anyeni hiyo talanta mumpatie yule mwenye talanta kumi.’ 29 Kwa maana kila mtu mwenye kitu ataongezewa, naye atakuwa navyo kwa wingi. Lakini kwa yule asiye na kitu, hata kidogo alicho nacho atanyang’anywa. 30 ‘Mtupeni huyo mtumishi asiyefaa nje kwenye giza, huko kuta kuwa na kilio na kusaga meno.’ ”​

Aisee

Back
Top Bottom