Hukumu ya Zombe: Aachiwa!

Hukumu ishaanza kusomwa? Hakuna mtu aliyekaribu na High Court?
 
Last edited:
Wana jf pleni na kazi.
Sisi tulio mbali na dar es salaam tuna shauku sana ya kujua maendeleo ya kesi ya zombe.
Tumeambiwa kuna vipaza sauti vimewekwa.
Tunaomba mtujulishe yanayojiri kwa hivi sasa.
 
kama kila mtu akiwa na mawazo kama yako basi tanzania itabaki the same. mimi nina mawazo tofauti kwamba tanzania haiwezi kubaki the same. Tena itabadilika kwa haraka. vugu vugu ndo tumeanza. Ni kwambie kitu tena, hizi sekondari za kata zitatoa wazazi wenye mwanga kidogo ya haki yao lakini maskini wasioweza kupata kazi.Walimu wao ndo hao vijana wa kidato cha sita na tena kila siku mishahara wananyimwa ndo watawafumbua macho. NIMETABIRI.
 
Ipo thread ya hukumu ya Zombe utapata yote yanayojiri
 
I will not be suprised if this guy gets aways with it. After all, he will not be the firrst to get away with it, the question is who will be next to be killed and who will be the next killer to get away with it. Hii ndio Tanzania yetu, petty criminals get stoned to death or sentenced for years, Vigogo wahalifu wanatesa na ulinzi juu! Ndivyo tulivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…