Kite Munganga
Platinum Member
- Nov 19, 2006
- 1,773
- 952
My god we are going to die all of us kwa hali hii dunia imekwisha iliyobaki tusubiri kiama tuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
WATAJWA HAPO JUU LAZIMA WATAMBUE HII NI TZ-U CAN CREATE POSSIBILITY OUT OF IMPOSSIBILITY.....Nguli, 7ceven, Al Zagawi, AmaniKatoshi, BabaBabuu, babukijana, Babuyao, Balantanda, Bambo jr, Belo, Bint, Bongolander, Bujibuji, Bwana, care4all, Chaku, Dark City, Dawson, Elusive, Endaku's, ExpertBroker, Fidel80+, FrankGM, gervase malimi, gn30, Heri, Hondohond, Ipo siku, Jafar, Jeni, JoJiPoJi, JosM, Joyceline, Kafiribangi, Kagoma, Kaizer, KAKA MKUBWA, Kakalende, KAM, Kang, Katibukata, Kekuye, Kenge (Eng), Kicheruka, Kigogo, Kimbweka, kinepi_nepi, Kite Munganga, Koiya, Kuntakinte, Kyachakiche+, Kyemba, libidozy, Lunanilo, Lussadam, Maamuma, Mairo, Maisha, Makanyagio, Makingi George, Margreth, Masatu, Mateso, Mathias, Maverick, Mburahati, mchakato, Mchukia Fisadi, Mhafidhina, mnozya, Mnyonywaji, Mpingo1, Mpita Njia, Mponjoli, msaranga, Mshiiri, Mtabaruka, Mtana, Mtoto, Mtu66, Mugo"The Great", Mulugwanza, Mundu, mwalimu, Mwana va Mutwa, MwanajamiiOne, Mwita Maranya, Mzee Mzima, mzundu, Naminyo, Ndaga, Ndaki, Nemesis, Next Level, Ng'azagala, Ngongo, Ngorunde, Nimrodi Nkono, Offish, Pasco, PhD, Prince, RedDevil, rkili, rosebella, Safari_ni_Safari, Shapu, share, Shy, sinani, SMU, Solent, SONDAS, taffu69, Thadeus, ThinkPad, Tshala, TzPride, Umushoshoro, vstdar, Wa mmoja, Wa Tsavo, Wakunyuti, Wambandwa, watu, ygjunior
Mimi 'kunji" ni jadi yangu, nikija huko ni barabarani tu mkuuTunakungoja na wewe tupigwe wote virungu
Asante kwa Breaking news mkuu,hata hivyo kuna thread nyingine imeanza mapema juu ya hukumu hii ya akina Zombe,ni vema ungeliweka bandiko lako hili hapo badala ya kuanzisha lingine tena 'Breaking news'BREKING NYUUUZZZ:zombe na wenzake waachiwa huru
Kitendawili kilichotegwa takriban miaka mitatu iliyopita na aliyekuwa mkuu wa upelelezi wa jeshi la polisi,Mkoa wa dar es salaam (ACP) Abdallah Zombe na wenzake wanane wameachiwa huru sasa hivi katika mahakama kuu ya Tanzania.
source-Michuzi
Acha kuwaingiza mkenge wenzio wewe,waingie mtaani kufanya nini????,haki haidaiwiw hivyo aiseeemlioko dar ingieni street jamani, hii hali ni mbaya, wanyonge tutakwisha
Si kosa la mwendesha mashitaka.Mwendesha mashtaka should do something otherwise ajiuzulu. maana yake hapa inaonyesha uwezo mdogo katika ofisi yake
!na wale ndugu wa wale majambazi waliohukumiwa na zombe inabidi wamlipe fidia kiumbe wa watu zombe