Hukumu ya mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini leo

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,252
Masikio Na macho ya wapenzi wa riadha duniani in Afrika ya kusini ambako Mahakama Kuu itatoa hukumu ya kesi yake ya kumwua aliyekuwa mpenzi wake.Pamoja Na mawakili wake kumtaka atoe vyuma katika miguu yake ili kumshawishi Jaji amwonee huruma , wanasheria wa upande wa mashtaka wamesema ulemavu haumwondolei hatia.Tusubiri hukumu.
 
Back
Top Bottom