Jana kwenye taarifa ya habari ya Star TV ya saa mbili usiku kulikuwa na taarifa ya kusikitisha sana ambapo Mahakama ya Mwanzo ya Kishapu ilimuhukumu Famiia ya Mzee moja kifungo cha miaka 18 baada ya kukataa kutoa rushwa.
Kama ni kweli hili ni fedheha kubwa sana kwa Idara ya Mahakama. Waliendelea kusema kuwa siku ya hukumu Mhe. Hakimu ndiyo alikuwa mstari wa mbele kufuatilia pingu nk, ili washtatkiwa waweze kuanza kwenda kutumikia adhabu yao. Inawezekana siyo weli yaliyosemwa LAKINI kama ni kweli ninamwomba Mhe.JAJI MKUU aunde TUME ili ukweli wa jambo hili lijulikne na wahusika wachukuliwe hatua za kinidhamu.
Hivi kweli Mahakama ya Mwanzo ina uwezo wa kumhukumu mtu miaka 18 jela. Kwa kweli vijijini wananchi wanaonewa sana na hasa Usukumani ambapo ni wananchi wapole na walio na ushirikiano mkubwa na viongozi wa Serikali. Mwisho, niwashukuru sana Shirika lisilo laKiserikali la AGAPE kwa kusimamamia shauri hili na kuhakikisha haki inapatikana. MUNGU AWABARIKI SANA.