Tangu jana nilielezea kwamba nimepata taarifa kuvuja kwa hukumu ya mh Lema. Mods aliunganisha link yangu na nyingine zilizokuwa zilizokuwa zinashabihana na hilo. Kitaaluma mimi ni mwanasheria na hakika kila mwenye taaluma hii na aliyekuwa akifuatilia kesi atabaki mdomo wazi juu ya hukumu iliyotolewa. Huyu jaji alichofanya ni kucheza na akili za watu, na nina uhakika alikua na hukumu mbili mkononi. Hata mwanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza anajua kwamba katika 'tort' ili kosa lionekane limetendwa ni lazima aliyetuhumiwa athibitishe ameathirikaje na hizo tuhuma. Inakuwaje 3rd party ndo athibitishe hilo?. Batlida hajawahi kuja mahakamani. Kesi hii inaandika historia katika mhimili wa mahakama juu ya uhuru wake. Kuna haja ya majaji katika mahakama kuu kufanyiwa enterview kama kule kenya wanavyofanya. Hii hukumu imenikumbusha mengi katika tasnia ya sheria, daima itabaki kuwa kumbukumbu mbovu kwenye mhimili wa mahakama.
Mimi mwenyewe nimeshangazwa sana na hukumu hiyo kwani kwa elimu ya sheria ya miaka mitatu niliyonayo mpaka sasa hata siku moja huwezi kutukia ushaidi wa 3rd party kumhukumu mtu kwa makosa ya tort, ni kama vile mhindi akutemee mate ya pariki halafu rafiki yako akashitaki na kudhibitisha mahakamani kwamba mate yalikuunguza, but hii ilionekana from the beginning kwani ndiyo sababu kubwa iliyomfanya jaji aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo awali ajitoe mnamo tarehe 6 february mwaka huu kwa kusema siwezi kusikiliza na kutoa maamuzi ya kesi kama hii.
Tangu jana nilielezea kwamba nimepata taarifa kuvuja kwa hukumu ya mh Lema. Mods aliunganisha link yangu na nyingine zilizokuwa zinashabihana na hilo. Kitaaluma mimi ni mwanasheria na hakika kila mwenye taaluma hii na aliyekuwa akifuatilia kesi atabaki mdomo wazi juu ya hukumu iliyotolewa. Huyu jaji alichofanya ni kucheza na akili za watu, na nina uhakika alikua na hukumu mbili mkononi. Hata mwanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza anajua kwamba katika 'tort' ili kosa lionekane limetendwa ni lazima aliyetuhumiwa athibitishe ameathirikaje na hizo tuhuma. Inakuwaje 3rd party ndo athibitishe hilo?. Batlida hajawahi kuja mahakamani. Kesi hii inaandika historia katika mhimili wa mahakama juu ya uhuru wake. Kuna haja ya majaji katika mahakama kuu kufanyiwa enterview kama kule kenya wanavyofanya. Hii hukumu imenikumbusha mengi katika tasnia ya sheria, daima itabaki kuwa kumbukumbu mbovu kwenye mhimili wa mahakama.
mkuu hiyo hukumu ilikuwa imetengenezwa na viongozi wa kisiasa wa CCM,hilo tunalielewa hata watu ambao hawana elimu yoyote ileTangu jana nilielezea kwamba nimepata taarifa kuvuja kwa hukumu ya mh Lema. Mods aliunganisha link yangu na nyingine zilizokuwa zinashabihana na hilo. Kitaaluma mimi ni mwanasheria na hakika kila mwenye taaluma hii na aliyekuwa akifuatilia kesi atabaki mdomo wazi juu ya hukumu iliyotolewa. Huyu jaji alichofanya ni kucheza na akili za watu, na nina uhakika alikua na hukumu mbili mkononi.
Hata mwanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza anajua kwamba katika 'tort' ili kosa lionekane limetendwa ni lazima aliyetuhumiwa athibitishe ameathirikaje na hizo tuhuma. Inakuwaje 3rd party ndo athibitishe hilo?
Batlida hajawahi kuja mahakamani. Kesi hii inaandika historia katika mhimili wa mahakama juu ya uhuru wake. Kuna haja ya majaji katika mahakama kuu kufanyiwa enterview kama kule kenya wanavyofanya. Hii hukumu imenikumbusha mengi katika tasnia ya sheria, daima itabaki kuwa kumbukumbu mbovu kwenye mhimili wa mahakama.