Hukumu ya kupinga ubunge Arusha mjini

Anzeni kuvuta msuba kuanzia leo,mkeshe mkilanduka ili wakati inatoka huku mtakua mmeshakua vichaa. Hata maumivu ya virungu hamuwezi kuhisi tena.

Kama lema anakosa basi awajibiswe,na uchaguzi ukirudiwa basi asahau ubunge,arusha lazima itarudi ccm hata ikibidi magumashi yafanyike.nyie furahieni arumeru,ilikua chambo hiyo

kiungo kikuu ya mama yako.!?
 
Nyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooouso kama Wasira
 
Mkuu hukumu ni tar. 05 Apr. Kama uko Marekani maeneo ya Alaska itakuwa tar. 04 Apr.
Komaa usubiri outcome
WanaJF, mwenye taarifa ya hukumu ya kesi ya kupinga ubunge wa kamanda Lema atujuze, maana leo ndo tar 4/04/2012 na sahizi ni jioni ya saa moja kasoro. Nimeona kimyaa, kimyaa hadi imekuwa kero au hukumu itafanyika usiku? wanaJf wa Ar town vipi? tupeni uptodates, tumechoka na tetesi.
 
Kuna wa2 inaonekana Wana matatizo ya akil Yaan Inaonekana Ubongo wao umechanganyikana na kinyes arusha haiwez tawaliwa na masoro magamba a.k.a mkolon mweus
 
Wewe Majebere huna hata chembe ya akili ubongo wako umeganda kama nyama iliyowekwa kwa deep freezer,utasema sana kama Gamba mwenzio Nape aliyejitapa oooh tunachukua jimbo la Arumeru Mashariki then mkaangukia pua so na wewe jiandae hiyo kesho yatawakuta,kuwa na serikali sio ati hata Mahakama mtaiingilia kiivyo japokuwa nafahamu Bongo sheria zipo ila njaa inasababisha isifuatwe.So my Dia Majebere aka Gamba time will tell. Nakupa akiba ya maneno kesho ni beer kwa kwenda mbele kwani mpaka wenye matatizo ya kutoona hiyo kesho watakuwa wanaonyesha ishara ya V ndio hapo utajiharishia.

Majebere acha kuota ndoto bwa mdogo tena za mchana mchana!!!! Kama ni mtafii utajua wazi kabisa kuwa CCM inazidi kupiteza umiliki wa majimbo kanda ya kaskazini!!!
 
user-online.png
majebere

Today 19:52
#10
Junior MemberArray

Join Date : 2nd April 2012
Posts : 8
Rep Power : 302
Likes Received2
Likes Given0

[h=2][/h]
mark the red
 
Ni ngumu magamba kutushikia chini,hii ni exageration tu,ishu ndogo sana hii,WAKIAMUA KUMPIGA CHINI natoa wito kesho tunaanza soo
 
Anzeni kuvuta msuba kuanzia leo,mkeshe mkilanduka ili wakati inatoka huku mtakua mmeshakua vichaa. Hata maumivu ya virungu hamuwezi kuhisi tena.

Kama lema anakosa basi awajibiswe,na uchaguzi ukirudiwa basi asahau ubunge,arusha lazima itarudi ccm hata ikibidi magumashi yafanyike.nyie furahieni arumeru,ilikua chambo hiyo

upelekwe ukatibiwe somalia,nahisi unamatatizo kwenye UBOHO.
 
Back
Top Bottom