Mnyaman kauzu
Member
- Jun 26, 2016
- 77
- 56
Napenda kujua kuwa tangu aingie ndugu msh; Raisi Magufuli amesha tekeleza hukumu hiyo!?? na kama ametekeleza ni marangapi
Mana kwa ninavyo jua mimi raisi wa mwisho kutekeleza hukumu ya kunyongwa alikuwa Rais mwalim Nyerere.
Na kwa upande wa Ndugu Magufuli kama nlisha msikia ingawa sina kumbukumbu kuwa atakae patikana na hatia ya kuua nae auwawe.
Naleta kwenu huu uzi nipate data kamili.