Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

kinachoonekana huko ni kuwa hakuna member wa jf.kilichobaki kwa wale wenye access na radio kama radio one watege masikio yao kusikia kama kuna lolote baya au zuri limetokea huko bmulo
 
Jamani hiyo kesi mbona maendeleo hatupati, nyie watu wa runazi,katoke, kanywamaizi, kankende, rubondo mko wapi ?

Ta Muganyizi una makamanda huko. wasiliana nao watupe data. km hawana id jf wafundishe wajiunge ili walete data.. nawasilisha wakuu.
 
kwani hawezi kuchangia maendeleo kama sio mbunge?
 
Ta Muganyizi una makamanda huko. wasiliana nao watupe data. km hawana id jf wafundishe wajiunge ili walete data.. nawasilisha wakuu.

Kesi Imeahirishwa kutoka saa 7 : 00 hadi saa 9 :00 sijui kuna mpango gani ilikuwa saa 5 ikawa saa7 na sasa naambiwa ni saa 9!!!
 
Sidhani kama kuna ukweli kwenye hii thread! Ifutwe kabisa, uhuni mwingine hauna maana.
 
Kesi Imeahirishwa kutoka saa 7 : 00 hadi saa 9 :00 sijui kuna mpango gani ilikuwa saa 5 ikawa saa7 na sasa naambiwa ni saa 9!!!
 
nakuchukia kaka,una pumba mno cjui wawapi wewe! Mode piga ban kichaa huyu.
 
kufuatia kilichotokea huko sumbawanga yote yanawezekana!! walikuwa wameandaa ya kuinyoa cdm ila baada ya kuona kule sumbawanga wamewanyoa ccm basi na yeye anataka kufata trend ileile...kuliyeyusha gamba!

Tuombe mungu iwe hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…