Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

Oscar mukasa alionewa sana jamaa yule.

Wangemchagua oscar wangepata maendeleo sana jamaa ni mtafiti mzuri na anatisha katika fani yake.

siasa chafu ndio zilizomuangusha jamaa, watu waliikata hadi migomba yake kwa chuki ila i hope atashinda tu kesi.

utafiti wake na una uhusiano gani na ubunge?, huo usomi wake (Ujuvi wa utafiti) ungeweza leta maendeleo gani katika jimbo lake, nadhani angekuwa sawa tu na msomi CHENGE-mwanasheria aliyebobea na aliyetuingiza kwenye hii mikatavba tuliyonayo
wapo wengi mkuu, Mchumi JK, Mwanasheria Ngereja, Prof Kapuya nk
 
Oscar mukasa alionewa sana jamaa yule.

Wangemchagua oscar wangepata maendeleo sana jamaa ni mtafiti mzuri na anatisha katika fani yake.

siasa chafu ndio zilizomuangusha jamaa, watu waliikata hadi migomba yake kwa chuki ila i hope atashinda tu kesi.

alfunguliwa kesh kwa makosa gani weka hapa kwa uchache tuweze kuelewa.usiwe ndani ya box mkuu
 
Oscar mukasa alionewa sana jamaa yule.

Wangemchagua oscar wangepata maendeleo sana jamaa ni mtafiti mzuri na anatisha katika fani yake.

siasa chafu ndio zilizomuangusha jamaa, watu waliikata hadi migomba yake kwa chuki ila i hope atashinda tu kesi.

Kwani CCM ina wabunge watafiti kidogo? Kwani baada ya kushindwa alinyanganywa utafiti wake?
 
Oscar mukasa alionewa sana jamaa yule.

Wangemchagua oscar wangepata maendeleo sana jamaa ni mtafiti mzuri na anatisha katika fani yake.

siasa chafu ndio zilizomuangusha jamaa, watu waliikata hadi migomba yake kwa chuki ila i hope atashinda tu kesi.
Inaelekea kama unaumwa ugonjwa wa UPOMWI (Ukosefu wa Pointi Mwilini), maana katika post zako zote huwa unatoa pumba tu.
 
Oscar mukasa alionewa sana jamaa yule.

Wangemchagua oscar wangepata maendeleo sana jamaa ni mtafiti mzuri na anatisha katika fani yake.

siasa chafu ndio zilizomuangusha jamaa, watu waliikata hadi migomba yake kwa chuki ila i hope atashinda tu kesi.

Hakuna kitu
 
we unamjua vizuri oscar au unapayuka tu!niulize mi mpaga kura wa jimbo husika,hakuna kiraza kama osca bora hata ya lusinde wa mtera
 
quote_icon.png
By QUALITY Taarifa toka Biharamulo zinasema kuwa hukumu ya Kesi dhidi ya Mh. Dr. Mbassa (Mbunge wa Biharamulo CDM) nayo itaanza kusomwa leo saa 7 mchana badala ya saa 5 kama ilivyopangwa awali. Tutawafahamisha pia kutoka huko. Sikuona haja ya kuanzisha thread nyingine!
Quality

Tupe updates maana hii saa nane.
 
Naomba ugonjwa huo uuite UPOKI = Upungufu wa POinti KIchwa

mkuu neno la mwisho kabisa umekosea. ni kichwani sio kichwa. ndo maana ukimwi kirefu chake ni ukosefu wa kinga mwiliNI na sio mwili.
 
Jaji tenda haki kwa kumvua ubunge huyo Mbass.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Back
Top Bottom