Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

Jamani poleni kwa kuwaweka roho juu, maana nilikua nimepoteza mawasiliano na jamaa yangu, lakini habari za uhakika ni Kwamba Magamba wamegaragazwa tena mpaka sasa ni 3-1... Singida Mash, Biharamula na Sumbawanga

Mkuu hao wamepigwa 4-1 mpaka sasa. Tuanze na Ilemela, Singida, Sumbawanga, Bihalamuro. Tutarajie tena Ubungo na Segerea. Hapo itakiwa 6-1.
 
Ni sehemu gani uliona chama kimetuma wawakilishi kwa ajili ya hizo kesi za uchaguzi?

Kwa vile swali langu lililenga kufahamu nadhani ulikuwa na option ya jibu mkuu "sio utaratibu" na sikung'aka.

Lengo langu nikuibua mjadala iwapo kuna haja ya ushiriki wa chama (kwa maana ya viongozi wa juu) katika matukio haya ya kesi za uchaguzi-. Inawezekana Chama kikawa kimeshiriki kwa namna fulani wakati wa mchakato wa awali wa kesi lakini nionavyo mimi ni vyema kuonyesha mshikamano hata siku ya hukumu. Inawezekana kabisa mvuto wa jimbo au mbunge unatofautiana kati ya jimbo moja na langine au mbunge na mbunge ila tukumbuke kuwa katika vita hivi kila askari anaumuhimu mkubwa.
 
John heche kaandika kwenye account yake ya facebook kwamba chadema imeshinda biharamulo.
My take;
Wao wana hela sisi tuna Mungu. hadi kufika 2015 M4C itakuwa imefanya makubwa. pipoooooozzzzzzzz..........!!!!!!!!!!.
 

chadema wameshinda biharamulo
 
Haya wadau. nendeni kwenye post ya kwanza muanze kugonga likes zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…