Hukumu Shekhe Ponda yaahirishwa

Hukumu Shekhe Ponda yaahirishwa

Status
Not open for further replies.
Ulianza vizuri sana.. ukachanganya mambo mwishoni katika "My take" yako, udini yafaa ukemewe kwa nguvu zote. Sisi wote ni binadamu, sisi wote ni watanzania. Ponda atapata stahili yake kwa mujibu wa sheria.
 
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Morogoro, leo imeahirisha kutoa hukumu katika kesi ya jinai Na.128/2013 inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda.
Hukumu hiyo imeahirishwa hadi Novemba 18, mwaka huu baada ya Hakimu Mkazi Mary Moyo aliyetarajiwa kutoa hukumu hiyo kuwa na matatizo ya kiafya.
Taarifa hiyo imeonekana kuwaudhi watu waliokuwa wamekusanyika katika eneo la mahakama hiyo waliokuwa na shauku kubwa ya kujua hatima ya kiongozi huyo.
Hati ya mashitaka ya kesi ya Ponda ilikuwa na jumla ya mashitaka matatu lakini Julai 22 mwaka huu, Hakimu Mkazi Mary Moyo alitoa uamuzi wa kumfutia shitaka la kwanza kwasababu lilishatolewa uamuzi na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, na hivyo mahakama hiyo ya Morogoro siku hiyo ilitoa uamuzi wa kumuona ana kesi ya kujibu katika mashitaka mawili yaliyosalia ambayo ni kosa la pili na la tatu.

My take
Mmepewa nguvu sana miaka kumi iliyopita sasa anaingia mkristo pelekeni ujahidina wenu huko somalia
​

CC Invisible Moderator

Vipi jamani yule mwajiriwa mpya hajapatikana mpaka leo.Bibie punguza hasira na acha kuchukia na kueneza chuki.
 
Last edited by a moderator:
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Morogoro, leo imeahirisha kutoa hukumu katika kesi ya jinai Na.128/2013 inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda.
Hukumu hiyo imeahirishwa hadi Novemba 18, mwaka huu baada ya Hakimu Mkazi Mary Moyo aliyetarajiwa kutoa hukumu hiyo kuwa na matatizo ya kiafya.
Taarifa hiyo imeonekana kuwaudhi watu waliokuwa wamekusanyika katika eneo la mahakama hiyo waliokuwa na shauku kubwa ya kujua hatima ya kiongozi huyo.
Hati ya mashitaka ya kesi ya Ponda ilikuwa na jumla ya mashitaka matatu lakini Julai 22 mwaka huu, Hakimu Mkazi Mary Moyo alitoa uamuzi wa kumfutia shitaka la kwanza kwasababu lilishatolewa uamuzi na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, na hivyo mahakama hiyo ya Morogoro siku hiyo ilitoa uamuzi wa kumuona ana kesi ya kujibu katika mashitaka mawili yaliyosalia ambayo ni kosa la pili na la tatu.

My take
Mmepewa nguvu sana miaka kumi iliyopita sasa anaingia mkristo pelekeni ujahidina wenu huko somalia
​

Acha uchochezi wa kidini ndugu tumia busara japo kidogo.
 
Nashangaa my take yako mods wa jukwaa wanaiangalia bila kukupa ban,na vyombo vya usalama vianze wewe,hivi wewe ni mtanzania hasa?
 
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Morogoro, leo imeahirisha kutoa hukumu katika kesi ya jinai Na.128/2013 inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda.
Hukumu hiyo imeahirishwa hadi Novemba 18, mwaka huu baada ya Hakimu Mkazi Mary Moyo aliyetarajiwa kutoa hukumu hiyo kuwa na matatizo ya kiafya.
Taarifa hiyo imeonekana kuwaudhi watu waliokuwa wamekusanyika katika eneo la mahakama hiyo waliokuwa na shauku kubwa ya kujua hatima ya kiongozi huyo.
Hati ya mashitaka ya kesi ya Ponda ilikuwa na jumla ya mashitaka matatu lakini Julai 22 mwaka huu, Hakimu Mkazi Mary Moyo alitoa uamuzi wa kumfutia shitaka la kwanza kwasababu lilishatolewa uamuzi na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, na hivyo mahakama hiyo ya Morogoro siku hiyo ilitoa uamuzi wa kumuona ana kesi ya kujibu katika mashitaka mawili yaliyosalia ambayo ni kosa la pili na la tatu.

My take
Mmepewa nguvu sana miaka kumi iliyopita sasa anaingia mkristo pelekeni ujahidina wenu huko somalia
​

Hapo penye kijani umekosea sana. Sheria haiana cha dini watu wote ni sawa mbele ya sheria.
 
Kwa hiyo kashfa yako kwa Waislamu umepata faida gani?
 
Hivi kwa nini jf moderators mnamlea sana huyu rosemarie? Mna maslahi nae gani? Mada zake nyingi ni za kukashifu dini zingine na utawala ulio madarakani tu,sisi wana jf wote kwa nini tusimkemee?Hivi kwa nini jf moderators mnamlea sana huyu rosemarie? Mna maslahi nae gani? Mada zake nyingi ni za kukashifu dini zingine na utawala ulio madarakani tu,sisi wana jf wote kwa nini tusimkemee?
 
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Morogoro, leo imeahirisha kutoa hukumu katika kesi ya jinai Na.128/2013 inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda.
Hukumu hiyo imeahirishwa hadi Novemba 18, mwaka huu baada ya Hakimu Mkazi Mary Moyo aliyetarajiwa kutoa hukumu hiyo kuwa na matatizo ya kiafya.
Taarifa hiyo imeonekana kuwaudhi watu waliokuwa wamekusanyika katika eneo la mahakama hiyo waliokuwa na shauku kubwa ya kujua hatima ya kiongozi huyo.
Hati ya mashitaka ya kesi ya Ponda ilikuwa na jumla ya mashitaka matatu lakini Julai 22 mwaka huu, Hakimu Mkazi Mary Moyo alitoa uamuzi wa kumfutia shitaka la kwanza kwasababu lilishatolewa uamuzi na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, na hivyo mahakama hiyo ya Morogoro siku hiyo ilitoa uamuzi wa kumuona ana kesi ya kujibu katika mashitaka mawili yaliyosalia ambayo ni kosa la pili na la tatu.

My take
Mmepewa nguvu sana miaka kumi iliyopita sasa anaingia mkristo pelekeni ujahidina wenu huko somalia
​

Ukitongoza mchepuko unaulizaga dini yake?
Misiba unahudhuria tuu ya wakristo?
Daktari anayekuingizia mikono kukuzalisha ni mkristo tuu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom