Hukumu Shekhe Ponda yaahirishwa

Hukumu Shekhe Ponda yaahirishwa

Status
Not open for further replies.

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,445
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Morogoro, leo imeahirisha kutoa hukumu katika kesi ya jinai Na.128/2013 inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda.

Hukumu hiyo imeahirishwa hadi Novemba 18, mwaka huu baada ya Hakimu Mkazi Mary Moyo aliyetarajiwa kutoa hukumu hiyo kuwa na matatizo ya kiafya. Taarifa hiyo imeonekana kuwaudhi watu waliokuwa wamekusanyika katika eneo la mahakama hiyo waliokuwa na shauku kubwa ya kujua hatima ya kiongozi huyo.

Hati ya mashitaka ya kesi ya Ponda ilikuwa na jumla ya mashitaka matatu lakini Julai 22 mwaka huu, Hakimu Mkazi Mary Moyo alitoa uamuzi wa kumfutia shitaka la kwanza kwasababu lilishatolewa uamuzi na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, na hivyo mahakama hiyo ya Morogoro siku hiyo ilitoa uamuzi wa kumuona ana kesi ya kujibu katika mashitaka mawili yaliyosalia ambayo ni kosa la pili na la tatu.

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Morogoro, leo imeahirisha kutoa hukumu katika kesi ya jinai Na.128/2013 inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda.
Hukumu hiyo imeahirishwa hadi Novemba 18, mwaka huu baada ya Hakimu Mkazi Mary Moyo aliyetarajiwa kutoa hukumu hiyo kuwa na matatizo ya kiafya.
Taarifa hiyo imeonekana kuwaudhi watu waliokuwa wamekusanyika katika eneo la mahakama hiyo waliokuwa na shauku kubwa ya kujua hatima ya kiongozi huyo.

My take
Mmepewa nguvu sana miaka kumi iliyopita sasa anaingia mkristo pelekeni ujahidina wenu huko somalia
​

Nimesononeshwa sana na ua take,
 
Makosa ya Kikwete usiwabebeshe waislamu, adui yetu ni ccm tu, hatuna tatizo la dini Tanzania ndio maana dini zote tunaoleana hata kama dini hizo hazitambui hizo ndoa lakini kisheria ni halali na zinafungiwa bomani.
 
Hahahaaaaaaaaaaa inabidi nicheke maana huyu ni yale majinga na mapumbavu yanayojifanya kinyonga kujibadili rangi kwa wakati wake. Ni wa kumsamehe maana ukimjibu na wewe utaonekana kama yeye
 
Udini aliouasisi DHAIFU enzi ya utawala wake utakuwa na athari mbaya sana kwa jamii ya waTanzania kwa muda mrefu ujao wakati yeye atakuwa anakula mafenesi huko Msoga!!
 
Makosa ya Kikwete usiwabebeshe waislamu, adui yetu ni ccm tu, hatuna tatizo la dini Tanzania ndio maana dini zote tunaoleana hata kama dini hizo hazitambui hizo ndoa lakini kisheria ni halali na zinafungiwa bomani.

Kwa nini hamkuchoma ofisi za CCM badala ya makanisa?
 
Makosa ya Kikwete usiwabebeshe waislamu, adui yetu ni ccm tu, hatuna tatizo la dini Tanzania ndio maana dini zote tunaoleana hata kama dini hizo hazitambui hizo ndoa lakini kisheria ni halali na zinafungiwa bomani.

Well said!
 
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Morogoro, leo imeahirisha kutoa hukumu katika kesi ya jinai Na.128/2013 inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda.
Hukumu hiyo imeahirishwa hadi Novemba 18, mwaka huu baada ya Hakimu Mkazi Mary Moyo aliyetarajiwa kutoa hukumu hiyo kuwa na matatizo ya kiafya.
Taarifa hiyo imeonekana kuwaudhi watu waliokuwa wamekusanyika katika eneo la mahakama hiyo waliokuwa na shauku kubwa ya kujua hatima ya kiongozi huyo.
Hati ya mashitaka ya kesi ya Ponda ilikuwa na jumla ya mashitaka matatu lakini Julai 22 mwaka huu, Hakimu Mkazi Mary Moyo alitoa uamuzi wa kumfutia shitaka la kwanza kwasababu lilishatolewa uamuzi na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, na hivyo mahakama hiyo ya Morogoro siku hiyo ilitoa uamuzi wa kumuona ana kesi ya kujibu katika mashitaka mawili yaliyosalia ambayo ni kosa la pili na la tatu.

My take
Mmepewa nguvu sana miaka kumi iliyopita sasa anaingia mkristo pelekeni ujahidina wenu huko somalia
​
Njano na Kijani bwana....kumbe kila sehemu muna matatizo......nilifikiri mwamchukia RAISI-Lowassa peke yake kumbe wako wengi......
 
Acha usenge wewe.... tafuta jingine wtu tupo busy na mabadiliko unatuletea ushenzi hapa! Mtajua wenyewe na waliokutuma
 
Allah hawezi sema uongo katu, chuki walizonazo makafiri juu yenu waislam ni kubwa sana hayo wanayoyadhihirisha ni chembe tu ya yale yaliyofichika nyoyoni mwao. we funguka tu mtumishi huenda kuna makubwa unataka kuyasema zaidi ya hayo.
 
Huyu Hakimu ana amri kutoka upande fulani wenye maslahi na hii kesi. Ponda atafungwa sasa ili kutowaudhi upande wa pili na siku za kupiga kura zimebaki 5 tu ni heri asogeze mbele baada ya uchaguzi wanamlima mvua zake

Time will tell
 
Hii hukumu imeahirishwa kwa sababu za kisiasa tu, period!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom