Taarifa nilizozipata hivi punde zinasema mahakama imezuia mgomo wa walimu na kati ya sababu ni
1. Notisi ya saa 48 ilikiuka masharti, ilitakiwaitolewe katika siku za kazi
2. Suala la walimu na serikali bado lipo CMA, hivyo ni mapoemasana kuamua kugoma
Mahakama leo imetengua mgomo wa walimu uliokuwa ukiendelea nchi kwa madai kwamba mgomo siyo halali
mahakama pia imeiamuru CWT kuwalipa fidia wanafunzi walioathirika na mgomo wa walimu
Waitin for it,najua walimu watashinda km haki itatendeka!
Yaani mnasubiri ripoti ya kova kuhusu Dr Uli?
Sasa hukumu itakuwa na jipya gani??maana JK ameshasema hawana uwezo na yale masaa yaliangukia week end kwa hiyo mgomo batili warudi meza majadiliano wakaendelee kupotezeana muda!!hakuna jipya hapo!!