Lenana, nilikuwa nasubiri kauli yako kwa vile ulisema huko hapo ktk sehemu ya tukio: haina shida makamanda najua watajipanga upya na nafasi ya kurudi kundini ni kubwa.Matokeo ya uchaguzi wa bwana Lema yamebatilishwa!
Achana na mtu ambaye hayupo Arusha
Nimeambiwa lema atagaragazwa,so sad!
Matokeo ya uchaguzi wa bwana Lema yamebatilishwa!
Safi sana Mkuu, siku hizi umekuja na mtindo wa kujiamini 'tusiwape credit' wawe CCM, TISS, Polisi nk. Miaka ya 70, 80 mabalozi wa nyumba kumi walikuwa wakiheshimika sana, ilikuwa huwezi kununua gari kama hujapata baraka zao. Lakini taratibu walikuja kudharaulika, lakini pamoja na kudharaulika kwao kuna watu bado wanawapa credit. Hii ni kwa level ya vijijini na mitaani.Acheni woga usio na sababu jamani; uzito wa kesi ulikuwa kwa walioshtaki. Vitu viwili vikubwa vilikuwa wazi... waliodaiwa kudhalilishwa hawakushtaki, na siku na mahali inapodaiwa kufanyika udhalilishaji huo hapakukubaliana na hata kilichosemwa hakijakubaliana. Ni kesi ya juu juu sana. Majaji wetu wako huru sana kama watamkuta Lema na hatia yoyote ni kutokana na uzito tu wa ushahidi; wala msiwape CCM credit yoyote ile. Binafsi sina wasiwasi hata chembe kuwa ubunge wa Lema utathibitishwa leo. Na nina uhakika wa 99.99 kuwa itakuwa hivyo. Tusiwaogope sana CCM na serikali kiasi cha kuona kuwa wanaweza kufanya lolote, kwa yeyote na wakati wowote vinginevyo itabidi tuanze kupeleka sadaka pale Lumumba!
Mkuu JF sio sehemu ya porojo hiyo kesi ya Lema hakuna hakimu...Nasikia hakimu hajapata usingizi usiku mzima: Source mke wake.
Lema amevuliwa ubunge......
Lema amevuliwa ubunge......
Lema amevuliwa ubunge......
Lema amevuliwa ubunge......