Niko mahakamani tunasubiri hukumu itolewe binafsi nitarudi hapa kama tutakua tumetendewa haki vinginevyo najua sitaweza kurudi hapa coz kama sitakua polis nitakua hosptali tumejiandaa vyakutosha kuona mb we2 haonewi
Mkuu hakimu mbona ni wa Kike!!!
Source: Bint yake
Hheeee...........come again please.ndugu zanguni kwa ukweli usiyofichika mpaka sasa lema hana kesi ya kujibu ..labda waliofungua kesi wakajipange upya ................................amen
Kwenye ukweli siku zote uongo hujitenga.
Mungu atakuwa upande wa Lema
Sheria ni msumeno, msitegemee kubebwa kama Lema alitenda makosa; hatakwenda wiki ijayo mjengoni DOM
Lema is out of Parliament " Jaji ndo amemaliza kusoma hukumu muda mfupi uliopita" ni vilio, vurugu vimetawala. ntaendelea kuwajuza
Mkuu hakimu mbona ni wa Kike!!!
Source: Bint yake
Lema is out of Parliament " Jaji ndo amemaliza kusoma hukumu muda mfupi uliopita" ni vilio, vurugu vimetawala. ntaendelea kuwajuza
Kuwa serious kidogo mkuu
Lema is out of Parliament " Jaji ndo amemaliza kusoma hukumu muda mfupi uliopita" ni vilio, vurugu vimetawala. ntaendelea kuwajuza
Achana na mtu ambaye hayupo Arusha
Matokeo ya uchaguzi wa bwana Lema yamebatilishwa!