Huku TANESCO wameshakata vipi huko?

Aisee huu ni zaidi ya upumbavu.

Wanasema vijana tujiajiri,
Haya sasa , tumejiajiri kuuza barafu
Wanakata umeme.
Hii nchi upumbavu ni mwingi sana, inakera.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Inashangaza sana na vijana wengi wamejiajiri kwenye shughuli zinazohusiana na umeme.
Studio/movie library
Vinywaji baridi
Carwash
Welding
 
Tulikubaliana mpaka MSEME
Bado
IMG-20230923-WA0030.jpg
 
Back
Top Bottom