Huku sasa ni kujiendekeza!

Huku sasa ni kujiendekeza!

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,664
Hata kama ni ugumu wa maisha....
attachment.php
 

Attachments

  • kufuli.jpg
    kufuli.jpg
    50.1 KB · Views: 747
Aisee, kwa jinsi huo ukuta wa hiyo nyumba ulivyo na kyupi iliyotundikwa hapo nashawishika kufikiri kuwa ni ya house keeper.
Lakini si ajabu ikawa ya kibosile fulani, pengine ndivyo alivyoambiwa na sangoma kuwa akivaa hiyo kyupi basi mambo yatamnyookea
....
 
Sasa hiyo inaziba wapi wakati maeneo inayotakiwa kusitiri ndio imeraruka vya kutosha. Ikifikia hapo bora usiivae
 
Aisee, kwa jinsi huo ukuta wa hiyo nyumba ulivyo na kyupi iliyotundikwa hapo nashawishika kufikiri kuwa ni ya house keeper.
Lakini si ajabu ikawa ya kibosile fulani, pengine ndivyo alivyoambiwa na sangoma kuwa akivaa hiyo kyupi basi mambo yatamnyookea
....
Kwahiyo ni kyupi ya dawa?
 
Kitu cha kupitisha upepo mwanana

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Baada ya mwaka inabadilika na kuwa bikini.
 
Mkuu ni maalum kwa wenye fungus maeneo ya South Africa, ina ac ya kuzuia joto.
 
Back
Top Bottom