Hebu una Muungano wa nchi mbili Serikali Mbili
Mmoja ana Serikali mwingine hana na asiye na serikali anaona sawa
Mmoja ana wimbo wa Taifa mwingune hana na asiye na wimbo anaona sawa
Mmoja ana bendera na mwingine hana na asiye na bendera anaona sawa
Mmoja ana Bunge lake na asiye na Bunge anaona sawa
Mmoja ana raisi wake na asiye na Raisi anaona sawa
Mmoja anaruhusiwa kuongea mambo yote ya mwenziwe huyo mwingine hapana
Katiba mpya wote wameingiza Bunge la Jamhuri ila wao wameingiza na Bunge lao
Huyu mmoja mbunge mmoja anawakilisha zaidi ya wapiga kura 50,000 ila huyu mwingine wapiga kura 5,000
Huyu mwingine Jimbo mmoja Mbunge mmoja ila mwingine ana Mbunge na mwakilishi(2)
Huyu mmoja ana katiba yake na huyu hana wala hasikitiki
Ndugu tusikubali kuendelea kuwa WADANGANYIKA sasa tuwe WATANGANYIKA