Huku ni kulazimisha ugomvi!!

frank nyantu2

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
298
162
Vijana Chadema walianzisha tena Dodoma
MUUNGWANA BLOG / 12 minutes ago

Dar/Dodoma. Vijana wa Chadema wanatua tena Dodoma ambako CCM inaendelea na maandalizi ya mwisho mwisho kwa ajili ya mkutano mkuu maalumu wa kumkabidhi Rais John Magufuli kiti cha uenyekiti.

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), Patrobas Katambi amesema wanatarajia kutua mjini humo kufanya mkutano wa kamati ya utendaji Julai 20 na Mwenyekiti wa chama chao, Freeman Mbowe atahudhuria.

“Polisi imepiga marufuku mikutano ya hadhara, siyo ya ndani. Sidhani kama kikao hiki watakizuia kwa sababu ni cha ndani,” amesema Katambi.

Amesema kikao hicho, kitajadili na kutoa mwelekeo wa masuala mbalimbali ikiwamo mkakati wao mpya wa kutafuta haki na demokrasia aliyodai inaminywa.
 
Hio ndo jino kwa jino... Napita tu jaman ,
Wenu katika ujenzi wa jf
Be the first to reply
 
Vijana Chadema walianzisha tena Dodoma
MUUNGWANA BLOG / 12 minutes ago

Dar/Dodoma. Vijana wa Chadema wanatua tena Dodoma ambako CCM inaendelea na maandalizi ya mwisho mwisho kwa ajili ya mkutano mkuu maalumu wa kumkabidhi Rais John Magufuli kiti cha uenyekiti.

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), Patrobas Katambi amesema wanatarajia kutua mjini humo kufanya mkutano wa kamati ya utendaji Julai 20 na Mwenyekiti wa chama chao, Freeman Mbowe atahudhuria.

“Polisi imepiga marufuku mikutano ya hadhara, siyo ya ndani. Sidhani kama kikao hiki watakizuia kwa sababu ni cha ndani,” amesema Katambi.

Amesema kikao hicho, kitajadili na kutoa mwelekeo wa masuala mbalimbali ikiwamo mkakati wao mpya wa kutafuta haki na demokrasia aliyodai inaminywa.
Wananchi tunataka katiba na sheria za nchi viheshimiwa sio maagizo ya mtu mmoja
 
Kwa maisha haya hata nikiwa arrested poa tu teh
Kweli watz wamekata tamaa
890d3bdc7556cb47d5afbad24b2c1982.gif

Tuliipenda wenyewe
 
Back
Top Bottom