Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,214
- 20,988
Nina mwaka wa nne sasa huku Zanzibar ila kuna kitu kinanisikitisha sana. Katika misele yangu kama kijana nimeshuhudia kiwango kubwa sana cha mabinti wenye umri mdogo wakiwa wameachika mbaya zaidi unakuta ashazalishwa watoto 2,3 etc.Kwa uzoefu wangu mdogo mabinti kama hawa kuja kupata mume tena inakuwaga ni ngumu sana na mwishowe huishia kutangatanga kila mahali.